Mimi sio Mwalimu, lakini kutokana na kauli nyingi za serkali za ccm kutaka kuboresha elimu kama kujenga madawati,maabara na kushinikiza wanafunzi wasome sayansi; nimeona mbali ya kauli zote hizi wamemsahau sana muhusika mkuu wa kutoa hiyo elimu yaani Mwalimu.Na wewe ni mwalimu au mwanaharakati?
Amewauzia sana watoto wetu ubuyu akaona hailipi ikabidi ajiunge ccm ndo unafuu ameupata ndomana anawambia wenzie nao wajiaminiHivi....
Kumbe nawewe ni mwalimu [emoji45]
Nimefaham leo [emoji5]
Mkuu walimu wamekaguliwa vyeti vyao Mara kadhaa.Walimu wakaguliwe vyeti vyao maana waliosome vyeti vya watu ndo wanarudisha harakati nyuma ili wasibainike.
Unafahamu miaka ya nyuma walokua wanasomea ualimu wengi walikua ni wale wenye ufaulu hafifu ambao hawawezi kuhoji wala kudai hata haki zao.Mkuu walimu wamekaguliwa vyeti vyao Mara kadhaa.
Mbaya zaidi wao tu ndio wanaokaguliwa kila siku kuhusu wafanyakazi hewa,sasa sijui kwenye kadi nyingine hizi hakuna wafanyakazi hewa au vipi?
Maana Ukaguz wanafanyiwa walimu several times ni kama kuwadharaulisha tu.
Kukopa si dhambi! Na ukitaka maendeleo lazima ukope, hata matajiri wanakopa piaWalimu wanapenda mikopo
Kwani kuwa Mwl ni dhambi?Hivi....
Kumbe nawewe ni mwalimu [emoji45]
Nimefaham leo [emoji5]
Hapana mkuu, nilikua sijui kama madame ni mwl mwenzangu..[emoji13]Kwani kuwa Mwl ni dhambi?
Na moja ya walimu ni yule katibu na Rais wa CWT ambao wao kushushwa kwa vyeo kwa walimu wakuu wa kinondon kwa kosa la wanafunz hewa Walilisherehekea na kuliona kama sherehe na kupigilia msumari, ni mambo ya ajabu na aibu kwa kweliWalimu?wa nchi hii!labda....lakini kama walimu hawajitambui,maana yake hata haki zao hawazijui.Ngoja,wenda munaowategemea kuwahurumia wakiamua kuwa na huruma mtafikiriwa.
Kabisa maadam kama upo karibu na bar mwambie waiter akupe savana nakuja lipawacha tuonewe ni ujinga wetu na uoga wa kijinga utafikiri bila kazi hiyo huwezi kuishi ukijiamini unaweza kuepuka kuonewa
Kabisa maadam kama upo karibu na bar mwambie waiter akupe savana nakuja lipa
Kwakweli walimu ni watu wa ajabu sana,mwenzako anashushwa cheo ninyi wengine mnashangilia.Na moja ya walimu ni yule katibu na Rais wa CWT ambao wao kushushwa kwa vyeo kwa walimu wakuu wa kinondon kwa kosa la wanafunz hewa Walilisherehekea na kuliona kama sherehe na kupigilia msumari, ni mambo ya ajabu na aibu kwa kweli
Na hata kama huna kipindi usionekane umekaa nje...lazima ubaki ofcn.wacha tuonewe ni ujinga wetu na uoga wa kijinga utafikiri bila kazi hiyo huwezi kuishi ukijiamini unaweza kuepuka kuonewa
Mshahara sio mbaya ila labda useme allowance na marupurupu mengine pamoja na hela za michongo...ila hizi za michongo naona zinaenda kuwa ngumu kwa mikakati ya utawala huu...Hata walimu wa secondary nao ni shida tu,wanalipwa vijisenti uchwara kabisa
Mkoba ni mwenyekiti wa shirikisho la vyama vyote vya wafanyakazi.......Muulize Mkoba ww kwa nn AWAMU hii HAONGEI kuhusu maslahi ya WAALIMU badala yake Anawahimiza siku ya tarehe 1 sept WASIANDAMANE?? Muulize ukipata jibu nakuongezea elf 30 tigo p
Hahaaaaa hatari sana. Kwa kweli wanatakiwa kujua kuwa walimu ni zaidi ya wanavowajua....kuna mjinga mmoja kanitolea povu ooohhh kama wewe sio muoga andamana peke yako tukuone! alomwambia mimi naonewa nani? 80% nafanya kazi kulingana na wanachonilipa, wakinidhulumu cash yangu ama kuchelewesha daraja ama chochote najilipa kwa namna nyingine