Ndugu wana JF,
Naleta taarifa hii siyo kwamba napenda kuleta taarifa tu ila kuwa TANZANIA hasa VIONGOZI wajifunze kutokana na makosa wanayoendelea kuyafanya katika Taifa letu.
Muda mfupi leo Jumatano, Serikali NZIMA ya nchi ya Bulgaria imejiuzulu baada ya Wananchi kufanya maandamano ya kupinga maisha magumu yatokanayo na kupanda kwa bei za bidhaa nchini humo ikiwemo Umeme na vyakula. Rais na wateule wake wote wamejiuzulu baada ya Rais kusema hawezi kuwepo madarakani watu wakiendelea kumwaga damu. Bofya hapa kwa habari zaidi.
This should be a signal to "your" JK - Mr. Walker a.k.a. Vasco da Gama!
Ungejua gharama za kuapisha viongozi wapya ungekaa kimya
Ungejua gharama za kuapisha viongozi wapya ungekaa kimya
ETI???Yaani gharama zizuie MAISHA BORA ya baadae ya wananchi??Zizuie kujipanga upya?HAPO SOMO LAKO NI SAWA NA KUSEMA MTU KUKATA TAMAA NA KUOGOPA KUJENGA KWA KUHOFIA GHARAMA ZA UJENZI MBAYA ZAIDI MTU HUYO NA FAMILIA YAKE HAWANA MAHALI PA KWENDA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ILI MAISHA YAENDELEE,HIVYO KWA UMBUMBUMBU NA UZEZETA WAO WANAAMUA KUENDELEA KUISHI KUNAKO GOFU,PAGARE,NYUMBA ILIYOCHOKA,HOHEHAHE MPAKA WAFIE HAPO.,kisa?---ghaalama.Mh!vichwa tunavyo.teh,teh,teh,teh,teh na tuwaongezee basi vipindi vya kutawala kuepusha gharama za kuwaapisha.koh,koh,koh,koh!pyuuuu.Ungejua gharama za kuapisha viongozi wapya ungekaa kimya
kajiuzulu kwa sababu ameona watu wake ni wajinga na ujinga huu hata tanzania unakuja ukiongozwa na mitizamo kama yako