Serikali yazua balaa.

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Unaweza kuona ni jambo dogo ila mengi yatatokea, pamoja na muda mwingi kupotea, uchumi kuzorota, vile vibaba na vimama vikware leo vikichelewa kurudi nyumbani baada ya kukipitia kona vitasingizia tabu ya mafuta, serikali isipotoa suluhisho tunaelekea wapi?
 
inabidi tujifunze kuhusu namna ya kuchagua viongozi kwa kuangalia utendaji na sio sura hadi tutukapoweza hilo ndio tutakwenda sawa kwa sasa tuvumilie tu ama basi kama haiwezekani kuvumilia tuingie mtaani tufanye tukio
 
Back
Top Bottom