Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu tuhuma zilizotolewa na mwandishi wa ''The Economist'', gazeti la UK

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
1.JPG

Kaimu Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam mchana huu wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma zilizotolewa na mwandishi wa ” The Ecomist” Gazeti la Kiingereza linatoka kwa wiki dhidi ya Serikali ya Tanzania. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TCI), Daud Biganda.

SERIKALI imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotoka kila wiki lililodai kuwa Rais Dk.John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo imelenga kuupotosha umma.

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti hilo ilikuwa na kichwa kilicho andikwa “Government by gesture, A President who looks good but governs impulsively”

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati akitoa ufafanuzi wa habari hiyo Kaimu Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa alisema taarifa hiyo haikuwa na uzalendo na amewataka wanahabari kuwa makini na habari zenye mlengo wa kupotosha taifa.

“Nawaombeni wanahabari wenzangu kuweni makini na taarifa zenye mlengo wa kupotosha umma” alisema Zamarad.

Akitoa ufafanuzi kuhusu suala la uchumi Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Daud Biganda alisema taarifa hiyo siyo sahihi na imelenga kupotosha na inavuruga ukweli kwani Tangu Rais Dk.John Magufuli aingie madarakani kwa kipindi cha kati ya mwezi Desemba 2015 na 2016, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kuandikisha miradi ya uwekezaji ipatayo 551 yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 9,211.88 kati ya miradi hiyo miradi 229 yenye asilimia 42 inamilikiwa na watanzania, miradi 215 yenye asilimia 39 inamilikiwa na wageni na miradi 107 yenye asilimia 19 inamilikiwa kwa njia ya ubia kati ya watanzania na wageni.

Biganda alisema kuwa miradi yote hiyo ya uwekezaji ilitarajiwa kuzalisha ajira zipatazo 55,970 na kuleta matokeo mengine kwa watanzania na kuwa imesajiliwa na TIC.
 
Mbona hakieleweki maana hujatupa ukweli au uongo wa habari ya mwingereza
 
Fast jet wametoa angalizo kwamba uchumi wa Tanzania umeshuka hivyo wanakosa Wateja,pia wamesema hali ya nchi kisiasa haitabiriki wala kueleweka hivyo kuathiri uwekezaji wao,sasa wamepata leseni Kenya,hata Mimi nawashauri wafanyabiashara wenye nia ya kuwekeza watunze kwanza pesa zao,wenye nia ya kuagiza mizigo nje waache kwanza kwani TRA hawatabiriki,hata kwenye gazeti la economist wawekezaji wa barrick gold walilalamika kulipishwa kodi wasizozijua,jifanye kichwa ngumu mzigo uozee bandarini ufilisike,wenye mahotel pia ni kilio,siasa zimevuruga biashara yao na wanapunguza wafanyakazi,sekta ya utalii ndio vurugu balaaaaaa,tumekwisha
 
Government by gesture

A president who looks good but governs impulsively

20160528_mad001.jpg

WHEN opening parliament after his election last year, Tanzania’s president, John Magufuli, repeated a campaign promise: parents would no longer have to pay for secondary education. “And when I say free education, I indeed mean free,” he assured MPs. This year the government started expelling foreign workers without proper permits, including thousands of Kenyan teachers. Schools that were already straining to cope with a huge influx of new pupils are now at breaking point.

The president, nicknamed “the Bulldozer”, has delighted Tanzanians with an anti-corruption drive and public displays of austerity. Within weeks of taking office last November he had banned all but the most urgent foreign travel for government officials. He spent Tanzania’s Independence Day picking up litter by hand. He has fired officials suspected of incompetence or dishonesty and purged 10,000 “ghost workers” from the public payroll. However, he has a worrying tendency not to think things through.

Take, for example, his efforts to extract more tax from people using the port at Dar es Salaam, a gateway for the region. He has enforced VAT on the costs of moving goods that arrive at the port overland to neighbouring countries such as Zambia and Malawi. Shipping firms have immediately switched routes and now unload in Kenya, Mozambique or South Africa, leaving a once bustling harbour almost empty.

Mr Magufuli remains popular with ordinary Tanzanians. Twitter users at #WhatWouldMagufuliDo celebrate his thriftiness by suggesting amusing things he might approve of, such as wearing a curtain instead of buying new clothes and heating showers with a candle. The president has mended fences with neighbours, too. In April Uganda decided that a $4 billion oil pipeline would go through Tanzania, scrapping a previous agreement with Kenya. A month later Rwanda decided to build a railway to Dar es Salaam instead of the Kenyan port of Mombasa.

However, some Tanzanians, especially businessfolk, are having doubts about Mr Magufuli’s flair for the dramatic. When he thinks a public official has misbehaved he fires him on the spot, rather than following due process. More important is that he shows little interest in wider reforms aimed at spurring economic growth. If anything he seems to be making it tougher to invest in a country that already scores dismally on the World Bank’s ease of doing business index, where it is ranked 139th out of 189. “What Africa needs is strong institutions, not strong men or women,” says Zitto Kabwe, an opposition leader.

Surprisingly Tanzania even makes it hard for honest companies to pay their taxes (there it ranks 150th). Little wonder many less scrupulous ones don’t bother: last year fewer than 500 companies contributed an astonishing 43% of government revenues. Many others paid nothing.

Instead of addressing these deeper structural issues Mr Magufuli has continued to live up to his nickname of “Bulldozer”: one foreign firm was given seven days to settle a $5m bill, says its boss. The country’s revenue authority then took the money directly from its bank account. By contrast, the government is painfully slow to pay its own bills: it still owes the same company $30m. Acacia Mining, a gold producer, is owed $98m in VAT rebates—effectively an interest-free loan to the government. “The country has become totally uninvestable,” says a bigwig at a private-equity firm with holdings across Africa. “You pay your taxes for five years and have the returns to prove it and then some guy arrives with his own calculation and says you haven’t paid your tax.”

Mr Magufuli’s zeal may be admired, but his party, which has ruled Tanzania since independence, is thuggish and undemocratic: it suppressed dissent during the elections last year and then cancelled a vote held in Zanzibar after the opposition probably won it. Frustrated, America suspended $472m of aid. The Bulldozer merely harrumphed that Tanzania would soon no longer need aid and told the revenue authority to squeeze even harder.
 
1.JPG

Kaimu Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam mchana huu wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma zilizotolewa na mwandishi wa ” The Ecomist” Gazeti la Kiingereza linatoka kwa wiki dhidi ya Serikali ya Tanzania. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TCI), Daud Biganda.

SERIKALI imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotoka kila wiki lililodai kuwa Rais Dk.John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo imelenga kuupotosha umma.

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti hilo ilikuwa na kichwa kilicho andikwa “Government by gesture, A President who looks good but governs impulsively”

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati akitoa ufafanuzi wa habari hiyo Kaimu Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa alisema taarifa hiyo haikuwa na uzalendo na amewataka wanahabari kuwa makini na habari zenye mlengo wa kupotosha taifa.

“Nawaombeni wanahabari wenzangu kuweni makini na taarifa zenye mlengo wa kupotosha umma” alisema Zamarad.

Akitoa ufafanuzi kuhusu suala la uchumi Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Daud Biganda alisema taarifa hiyo siyo sahihi na imelenga kupotosha na inavuruga ukweli kwani Tangu Rais Dk.John Magufuli aingie madarakani kwa kipindi cha kati ya mwezi Desemba 2015 na 2016, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kuandikisha miradi ya uwekezaji ipatayo 551 yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 9,211.88 kati ya miradi hiyo miradi 229 yenye asilimia 42 inamilikiwa na watanzania, miradi 215 yenye asilimia 39 inamilikiwa na wageni na miradi 107 yenye asilimia 19 inamilikiwa kwa njia ya ubia kati ya watanzania na wageni.

Biganda alisema kuwa miradi yote hiyo ya uwekezaji ilitarajiwa kuzalisha ajira zipatazo 55,970 na kuleta matokeo mengine kwa watanzania na kuwa imesajiliwa na TIC.
Huyu dada anataka kusema kwa kuwa sijamwelewa? Anapinga kilichoandikwa au anatetea kitu gani? Naomba aliyemwelewa anijuze.
 
Hata juzi tumesikia kampuni ya bia TBL mlipa kodi mkubwa wakisema mauzo yao yameshuka kwa asilimia 30,na hii ni tathmini ya awali,ikija kamili unakuta mauzo yameshuka kwa asilimia 45,pia uagizaji wa bidhaa kwa ajili ya pasaka uliporomok sana, changanya na suala la sukari,serikali hukusanya kodi ya sukari,sasa kwa miezi mitatu ambayo sukari imepotea,biashara na kodi kiasi gani zimepotea?
 
Fast jet wametoa angalizo kwamba uchumi wa Tanzania umeshuka hivyo wanakosa Wateja,pia wamesema hali ya nchi kisiasa haitabiriki wala kueleweka hivyo kuathiri uwekezaji wao,sasa wamepata leseni Kenya,hata Mimi nawashauri wafanyabiashara wenye nia ya kuwekeza watunze kwanza pesa zao,wenye nia ya kuagiza mizigo nje waache kwanza kwani TRA hawatabiriki,hata kwenye gazeti la economist wawekezaji wa barrick gold walilalamika kulipishwa kodi wasizozijua,jifanye kichwa ngumu mzigo uozee bandarini ufilisike,wenye mahotel pia ni kilio,siasa zimevuruga biashara yao na wanapunguza wafanyakazi,sekta ya utalii ndio vurugu balaaaaaa,tumekwisha

'John Perkins' and other economic hit men on the move!
 
M

Mkuu umesahau bandarini nasikia hali ni mbaya, mizigo imepungua mbaya. Dalili ya mvua ni mawingu
 
Nilishauri mamlaka ya bandari wapageuze mahala pa kupumzikia pale bandari ya dar es salaam na wawe wanachaji ka kiingilio, yale ma crane ya kubeba makontena wayafanye bembea za kulipia za watoto,makontena na mizigo hakuna,watu hapa jf wakanishambulia kwelikweli
 
Jamaa amenikosha hapo chini kasema wameandikisha miradi kibao na badala ya kutupa takwimu ya ajira kasema INATARAJIWA kuingiza ajira hizo. Huu ni usanii wa mchan kweupe maana ilitakiwa kama miradi ni ya ukweli tayari ingekuwa na ajira halisi na sio za matarajio
 
Huyu dada anataka kusema kwa kuwa sijamwelewa? Anapinga kilichoandikwa au anatetea kitu gani? Naomba aliyemwelewa anijuze.
Kawawa usitake JPM akuone, sasa umekanusha nini? Taja Kuna uongo/ukweli gani kweny gazeti hilo. Just make an analysis of the print and come up with a convincing analysis
 
Back
Top Bottom