embu watu tuwe na mtizamo mpana zaidi... Kwa tz kutoa ramani sio kwamba ndio imetatua tatizo la mpaka... Hili ni tatizo kati ya mataifa mawili tofauti huwezi kutumia hoja za upande mmoja tuu na kusema tayari u-meclear boundary dispute. Ujue kwamba wamalawi nao wanaweza kutoa ramani yao kuonyesha mpaka upo offshore kwetu.... Je utasema ume-clear dispute kwa sababu ramani yao mpya inaonyesha mpaka upo offshore.
Tunatakiwa kujenga hoja kama watu wanaotafakari agenda na sio tuu ushabiki kwa sababu wewe ni mtanzania au mmalawi.
Kwa mtizamo wangu ramani haina nafasi yoyote kwenye mtafaruku huu unless kama ingetolea na thirdparty organ like AU au UN ndio ingeleta uzito kwenye majadiliano na mtizamo. Watanzania tusiwe watu wa kukurupuka kudandia hoja bila kujipanga na kuchambua masuala kama Great Thinker. Inatakiwa tujadili ni jinsi gani kutaconvince wenzetu kwa nini mpaka uwe kati kati na sio offshore, na sio kung'ang'ania tuu kuwa toka zamani ipo hivyo. Ieleweke kuwa wenzetu wana mkataba wanaoutumia kujenga hoja na wana sababu za kuutumia na kuutambua mkataba huo... Logic sense hazifanyi kazi kwenye mazingira ambayo tayari yana mkataba unaotoa maelekezo.
Tusipobadilisha mtizamo wa kushughulia mambo kwa kuyatafari kwa kina, then kuna hatari ya kushindwa kwenye case nyingi kwenye sura ya kimataifa. Kwa hiyo ramani hii mpya haina nguvu yoyote kwenye mgogoro huu na majirani zetu.
Good point!........sidhani kama watu wanasema kwa serikali kutoa hiyo Ramani ndio tumemaliza "gogoro" lililopo..........kinachosemwa hapa ni kama ifuatavyo:
Under sheria za nchi...idara husika imetoa ramani ili kuondoa confusions zilizopo nchini....kwani kuna versions za kila aina za ramani ya Tanzania....hadi kwenye majengo mengine ya seriakali........we were just taking this matter lightly!!.......wakati versions za ramani zetu nyingi hadi machinga mtaani wanaziuza.......zina makosa kibao..........
pili, baadhi ya wajumbe wanatoa wito kwa wahusika kuwajibika na kuwa proactive na sio kuwa reactive..........