mwaitebele
New Member
- Jun 1, 2015
- 3
- 0
Hata wewe unakisiaMkuu we ndo hujamwelewa anamaanisha vyuo na shule vinaweza kufunguliwa kuanzia mwezi wa 8 maana mwaka wa fedha ni kuanzia mwezi wa 7 kama sijakosea
Hata wewe unakisiaMkuu we ndo hujamwelewa anamaanisha vyuo na shule vinaweza kufunguliwa kuanzia mwezi wa 8 maana mwaka wa fedha ni kuanzia mwezi wa 7 kama sijakosea
Elimu bila malipo ya awaliRais Magufuli atakumbukwa kwa kuwalipia wanafunzi ada Tanzania nzima
Baaada ya miaka kumi tutakuwa na wanafunzi million kumi na tano waliopewa elimu bure na Magufuli
Hili jukwaa limevamiwa na mataahira wengi sana siku hiziRais Magufuli atakumbukwa kwa kuwalipia wanafunzi ada Tanzania nzima
Baaada ya miaka kumi tutakuwa na wanafunzi million kumi na tano waliopewa elimu bure na Magufuli
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Put them inside 😀 😀 😀 😀
Wanafunzi wa secondary au vyuo vikuu?Rais Magufuli atakumbukwa kwa kuwalipia wanafunzi ada Tanzania nzima
Baaada ya miaka kumi tutakuwa na wanafunzi million kumi na tano waliopewa elimu bure na Magufuli
Sijajua tatizo ni nini mkuu! Mimi kuna mambo baadhi wamenifanyia fair..ila suala la nyuzi huwa ninajipinda more than 1hr then nadondosha hapa..mwisho wa siku wanaiunganisha[emoji848]Samahani nitatoka nje ya mada kidogo hivi hawa mods wanatumia vigezo gani kuondoa ama kufuta thread za watu humu?? Binafsi nimekuwa mhanga sana wa kufutiwa thread zangu sijui nawakosea nini mods[emoji15][emoji15]mfano ni leo tu asubuhi nimeomba ushauri kwa members humu kuhusu tatizo linalonikabiri kiafya na watu walishaanza kunipa ushauri unfortunately uzi umefutwa why?? Mbona kuna threads za kijinga sana zinatumwa humu na hudumu muda mrefu sana?? Inaumiza sana jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakatisha sana tamaa unapokutana na nyuzi za muda mrefu lkn most of them ni meaningless lkn zakwangu zinakuwa omittedSijajua tatizo ni nini mkuu! Mimi kuna mambo baadhi wamenifanyia fair..ila suala la nyuzi huwa ninajipinda more than 1hr then nadondosha hapa..mwisho wa siku wanaiunganisha[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile za chini ya carpet nasikia utafanyika SeptemberKwahiyo mtihani wa kidato cha sita unafanyika lini? Aliyeelewa naomba anijuze
Nashukuru mkuu
Kwani anatoa hela mfukoni mwake?Rais Magufuli atakumbukwa kwa kuwalipia wanafunzi ada Tanzania nzima
Baaada ya miaka kumi tutakuwa na wanafunzi million kumi na tano waliopewa elimu bure na Magufuli