mchangamadini
Member
- Jun 1, 2017
- 59
- 28
Nchi ya viwanda ileeèe kwenye kona. Jamani huu ni ukweli mchungu. Tunafurahi kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi inavyoenda kutatua changamoto Katika miradi mikubwa ya maendeleo na kufanikisha kukamilika kwake. Miradi mikubwa inayoenda kukamilika ni hii hapa chini.
1. Kukamilisha barabara zote za lami kuunganisha mikoa yote nchini. Barabara ya manyoni kigoma kupitia tabora na Ile ya mbeya rukwa katavi. Pamoja na barabara zote nchini ambazo zilikuwa hazijakamilika.
2. Kujenga na kuboresha viwanja vya ndege nchini.
3. Kupanua bandari ya Tanga na ya mtwara
4. Kuendelea kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa inayotoka Dar hadi mwanza, kigoma na arusha.
Hii ndio TANZANIA tuitakayo. Hongera sana Rais Magufuli