singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kwa Magufuli heshima ya Tanzania itarudi tu hata kama wapinzani hawapendi
Kabisa kwa kuwa ccm wangempitisha tu Lowassa kwani wasingejali hata tuhuma zilizotolewa na akina Lissu, Slaa, n.k.bila upinzani thabiti leo MAGU asingekua president wetu
Hamna upinzani ni CCM kwa CCM waliopandikizwa upinzani.bila upinzani thabiti leo MAGU asingekua president wetu
Ukitanua akili yako kutafari alicho kisema mchangiaji bila chembe ya ushabiki ya kichama utaungana naye kwamba bila upinzani magufuli asinge kuwa rais wetuunachekesha kamanda Nyanya mbichi. upinzani thabiti wa nani sasa. isije ukawa unalinganisha wapambanaji wa ufisadi na wakumbatia mafisadi na kuwasafisha? ? vitu viwili tofauti na havikai chungu kimoja.
Ni kweli kabisa ukisema kwa sababu upinzani tulikumbatia mafisadi basi wananchi wakaamua kuchagua wapambanaji na maufisadi, ambaye mtu sahihi ni Magufuli
hiyo ni kweli ndio maana anawapenda sana na kutumia sera zaobila upinzani thabiti leo MAGU asingekua president wetu
Be positively .mwenzako analeta wazo thabiti una mcrashe .kwanini utumi akili yako kutafakari kabla ujachangia.ni wendawazimu tuu ndio wanatembea na majibu kichwani .shame on youunachekesha kamanda Nyanya mbichi. upinzani thabiti wa nani sasa. isije ukawa unalinganisha wapambanaji wa ufisadi na wakumbatia mafisadi na kuwasafisha? ? vitu viwili tofauti na havikai chungu kimoja.
Ni kweli kabisa ukisema kwa sababu upinzani tulikumbatia mafisadi basi wananchi wakaamua kuchagua wapambanaji na maufisadi, ambaye mtu sahihi ni Magufuli
Kwa Magufuli heshima ya Tanzania itarudi tu hata kama wapinzani hawapendi
ni kweli unavyosema, lakini tujiulize! ule upinzani ulikuwa thabiti ?? ulikuwa upinzani wenye tija ya kweli? ? kwa sababu wapinzani kimsingi tulivurugwa baada ya kutuharibia ajenda yetu ya msingi na kutuletea ajenda za kusafisha watu. jambo hili limetukeraaa mpaka milele.Ukitanua akili yo kutafari alicho kisema mchangiaji bila chembe ya ushabiki ya kichama utaungana naye kwamba bila upinzani magufuli asinge kuwa rais wetu