ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,859
Mimi naona angekusanya tu hela zote za picha in advance halafu akajua ni kiasi gani. Baadae akawaambia walotowa hela wabakie na.picha ya baba wa Taifa tu na hizo hela zinuliwa ambulances au magari zima moto