hivi baada ya mwinyi angefuata JK nchi ingekuaje?
Mfano wa taasisi hizo la serikali tafadhali
TD ndiyo nani?
Sasa wewe hujui ya kuwa yule prof wa tezi dume ndiye aliyesababisha matatizo yote ya nhif,mifuko ya hifadhi ya jamii,ufisadi na mdororo wa kiuchumi Tanzania.Sijaelewa Tezi dume linangiaje kwenye mada hii, naona kama mnataka kututoa kwenye reli vile.
Unasema 'Labda' (kuonyesha kwamba hauna uhakika), halafu unakuja kusema 'acha uzushi' (kuonyesha kwamba una uhakika), huoni kwamba hauna sifa za kufanya kazi kwenye taasisi muhimu ya serikali? Wanasema "No research no right to say', kwamba kama haujafanya utafiti kwa maana ya kwamba hauna uhakika, basi hauna haki ya kuongelea jambo husika kama ulivyotoa conclusion hapo kwamba ni uzushi! Mimi ni mmoja wa wahanga wa jambo hilo, na nimeuliza NHIF wakasema mwajiri hajawasilisha michango, nikaenda kwa mwajiri akakiri na kusema kwamba serikali inaleta net salaries tu, makato mengine inabaki nayo na haijawasilisha sehemu husika, ndio maana nikasema hapa kwa uhakika. Sasa iweje wewe unayesema 'Labda' uje kusema 'ni uzushi'? Wala sijasema taasisi zote, ila nimesema 'baadhi'. Huenda uliajiriwa kwa kimemo hapoLabda taasisi yako tu ndo haijalipa huo mchango, nipo hapa kwenye system na michango ya wanachama inasomeka kabisa ,acha uzushi pleaseKatika hali ya kushangaza, serikali imeshindwa kuwasilisha makato ya mishahara ya wafanyakazi wa baadhi ya taasisi zake katika Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa miezi mitatu. ...
Juzi MSD walisitisha huduma hospitalini, leo NHIF wanasitisha huduma kwa wagonjwa wa bima ya afya kisa serikali haiwasilishi makato, je hatma ya maisha ya wanannchi wa Tanzania tunaiweka wapi?
Ndiyo maana wengine tulisema ni bora huo mfuko ufutwe tujijue wenyewe kuliko hii mambo ya danganya toto
hivi baada ya mwinyi angefuata JK nchi ingekuaje?
Yaaah, Kama Kawaida Yao... Hapo Tusubiri Kuundwa Tume Kuchunguza Bila Majibu.Ina maana wamezipiga???
hivi baada ya mwinyi angefuata JK nchi ingekuaje?
tz ingekuwa nchi nzuri sana kipindi cha ben kila ufisadi ulifanyika mbaya zaidi hadi ben mwenyewe pamoja na mkewe walifanya, kumbuka kujiuzia mgodi kwa bei ya kuku!
Mimi ni mmoja wa wahanga wa jambo hilo, na nimeuliza NHIF wakasema mwajiri hajawasilisha michango, nikaenda kwa mwajiri akakiri na kusema kwamba serikali inaleta net salaries tu, makato mengine inabaki nayo na haijawasilisha sehemu husika, ndio maana nikasema hapa kwa uhakika.