Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 654
- 1,305
Ile ndoto ya Tanzania kujitegemea kiuchumi imetimia chini ya Rais Samia ambapo Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Nchi,tumekata utegemezi wa misaada Kwa Mabeberu Hadi asilimia 0.9%.
Ndio kusema Bajeti ya Nchi Kwa Sasa inafadhikiwa na Mapato ya ndani ya Watanzania Kwa asilimia 99.1% ambapo Mapato ya Kodi ni 74.2% (sawa na Trilioni 46.8) ya Mapato yote ya Shilingi Trilioni 62.3.Pia Sina Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu | Page 5 | JamiiForums Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu
Utekelezaji wa vision 2050 umeanza Kwa kishindo.
View: https://www.instagram.com/p/DV0BNQwApOZ/?igsh=MWVjY2VucDFjcGhwdQ==
My Take
Samia anaongea kidogo matokeo makubwa,Beberu na vibaraka wao kwisha habari Yao.
Huu ndio Uongozi unaoacha alama.
View attachment 3557309
Upuuzi mtupu