Serikali yapunguza misaada kutoka nje kwa asilimia 0.9% kwenye bajeti ya 2026/2027

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,976
Ile ndoto ya Tanzania kujitegemea kiuchumi imetimia chini ya Rais Samia ambapo Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Nchi,tumekata utegemezi wa misaada Kwa Mabeberu Hadi asilimia 0.9%.

Ndio kusema Bajeti ya Nchi Kwa Sasa inafadhikiwa na Mapato ya ndani ya Watanzania Kwa asilimia 99.1% ambapo Mapato ya Kodi ni 74.2% (sawa na Trilioni 46.8) ya Mapato yote ya Shilingi Trilioni 62.3.Pia Sina Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu | Page 5 | JamiiForums Ongezeko la bajeti ya serikali mwaka 2026/27 kutoka trilioni 55 hadi trilioni 62 ni ujumbe tosha kwamba Tanzania haitayumbishwa na mabeberu

Utekelezaji wa vision 2050 umeanza Kwa kishindo.

View: https://www.instagram.com/p/DV0BNQwApOZ/?igsh=MWVjY2VucDFjcGhwdQ==

My Take
Samia anaongea kidogo matokeo makubwa,Beberu na vibaraka wao kwisha habari Yao.

Huu ndio Uongozi unaoacha alama.
Screenshot_20260313-085704.jpg
 
View attachment 3557309

0.9 si kitu cha kunpublish hapa, it is nothing
 
😛
Waona mbali tumeshasema, bibi yenu ni mbio za sakafuni.

Hata kwa JPM waona mbali waliona.

Matendo maovu lazima yawe na consequences kwa mkosaji, especially kwa mtu mwenye madaraka makubwa. Otherwise hakuna nchi hapo.
Ulichoandika hapa ni sawa na Dua la kuku haliwesi mpata mwewe .

Endelea kuona mbali tuone kama itabadili namba hizo hapo juu
 
0.9% nayo ni mafanikio? Uliishia la ngapi mkuu
Jf ni wa hovyo sana,hiyo heading wameweka wao sio ambayo niliweka Mimi na Wala haiiaandikwa hivyo kwenye link hapo ila Kwa sababu za chuki za kipumbavu za mods ndio wameandika hiyo Yao.

Nimewahi sema kwamba jf inamilikiwa na watu wa Chadema ambao ni wajinga na hakuna kitu wanajua kuhusu uchumi zaidi yakuendekeza chuki.
 
Mtaalam wa uchumi jf, tupe takwimu za namna bajeti ya 24/25 ilivyotekelezwa.
Samia hajawahi feli popote kwenye uchumi na Bajeti.

Kama umesoma link hapo utaona Kwa Bajeti hii inayokama juni ,nusu mwaka makusanyo ya serikali yalikuwa takribani 100%
 
Jf ni wa hovyo sana,hiyo heading wameweka wao sio ambayo niliweka Mimi na Wala haiiaandikwa hivyo kwenye link hapo ila Kwa sababu za chuki za kipumbavu za mods ndio wameandika hiyo Yao.

Nimewahi sema kwamba jf inamilikiwa na watu wa Chadema ambao ni wajinga na hakuna kitu wanajua kuhusu uchumi zaidi yakuendekeza chuki.
Inaonesha ulivyo dhaifu kichwani sio bure
 
Haijapunguza, sema imepunguziwa/imenyimwa. Usitake kujifanya ni nia yake kuacha misaada.
Wewe nyumbu ni WA hovyo kama mods wa jf ambao wamebadiki heading na Kuandika ujinga wao tofauti na heading yangu.

Pili baada ya kunyima huo Msaada ambao nyie vibaraka mnapewa umeona mradi gani umekwamisha? Au Hospitali Hazina dawa?

Niliona juzi umechangia ujinga eti wanafunzi wamekosa Mkopo wakati haijawahi kabla isipokuwa Kwa Samia wanafunzi wanapewa mikopo ya Bilioni 900 Kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom