Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,266 Feb 1, 2017 #1 Serikali imepokea barua ya MwanaHalisi kumwomba radhi Rais Magufuli na kulitaka kuchapisha barua hiyo katika gazeti la Jumatatu
Serikali imepokea barua ya MwanaHalisi kumwomba radhi Rais Magufuli na kulitaka kuchapisha barua hiyo katika gazeti la Jumatatu
ras jeff kapita JF-Expert Member Jan 4, 2015 21,592 32,824 Feb 1, 2017 #3 Kichapo kinaendelea....nawashauri waboreshe weledi...pia watumie fursa hii kujitathmini baada ya hili tukio
Kichapo kinaendelea....nawashauri waboreshe weledi...pia watumie fursa hii kujitathmini baada ya hili tukio
LEARNED BROTHER JF-Expert Member Mar 7, 2012 585 831 Feb 1, 2017 #5 Mwanahalisi wasipojirekebisha, siku zao zinahesabika