Serikali yapitisha Sheria kada za chini Halmashauri kuajiri.

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
59,109
Reaction score
69,563
Leo Bunge kwa Moyo mmoja imeridhia suala la ajira za Kada kama Dereva,Mhudumu na nyingine zinazofanana na hizo kutangazwa na Halmashauri husika pia Usaili kufanyika huko huko kwenye Halmashauri badala ya Sekretarieti ya Ajira. Isipokuwa Kada kama Afisa Kilimo, Mifugo, Misitu, Uvuvi na zinazofanana na hizo Sekretarieti ya Ajira itaendelea kutangaza na kuwafanyia Usaili kama ifanyavyo sasa. Baadhi ya Wabunge wamesema kwa upande mmoja ilikuwa ni kero mtu atoke Songe, Kagera Mbeya na sehemu nyingine kwenda Dar kwa Usaili.
 
bado hawajakizi haja ze2,ata kada zngne pia wangeruhusu ni usumbufu sekretaliat
 
Mi naona zote wangeziachia Halmashauri tu ziajiri basi, hii tume ni kero sana.Yaani eti kila siku unaona kazi eti Re-Advertised wakati waTanzania wanaosoka ajira ni wengi mno.Katika kitu ambacho naweza nikasema serikali hii imeshindwa basi ni hii tume ya utumishi yaani ni janga la kitaifa
 
bado hawajakizi haja ze2,ata kada zngne pia wangeruhusu ni usumbufu sekretaliat
Hapa ndo mwanzo bibie, nathani muda sio mrefu watarudisha kama mwanzo, nathani Mungu wetu ametusikia sisi watoto wa wakulima maana tunadaiwa madeni ya nauli tulizokopa hadi leo kwa ajili ya hzo interview zao huko dar, mi nikisikia secretariat narukwa na akili hawa watu sio kabisa ni majanga.
 
Kama kweli wewe ni mtoto wa mkulima usitegemee kupata kazi nje ya huu mfumo wa wazi wa sasa (sekretarieti,) wengi wanao ichukia ni vigogo na watoto wao pia na wachache wasiojua thamani na umuhimu wa hiki chombo. Changamoto zipo na ndio zinapaswa kurekebishwa na si kubadili sheria na kurudi kule kule tulipotoka ambapo wenzetu walikua wakipata kazi sie tunaambia nafasi za kazi hamna.
 
Wengi wanao ichukia ni vigogo na watoto wao pia na wachache wasiojua thamani na umuhimu wa hiki chombo. Changamoto zipo na zinapaswa kurekebishwa na si kubadili sheria na kurudi kule kule tulipotoka ambapo wenzetu walikua wakipata kazi sie tunaambia nafasi za kazi hamna. Kwa unayechukia hiki chombo na hauna refa subiri hiki chombo kiondolewe utarudi hapa kulalamika na kulia mana hata kazi hutaona zikitangazwa wakati wenzako unasikia tu wamepta kazi. Naipenda Sekretarieti japo haijaninufaisha mimi binafsi.
 
Umesema kweli tupu.

ba nso;6561809]Wengi wanao ichukia ni vigogo na watoto wao pia na wachache wasiojua thamani na umuhimu wa hiki chombo. Changamoto zipo na zinapaswa kurekebishwa na si kubadili sheria na kurudi kule kule tulipotoka ambapo wenzetu walikua wakipata kazi sie tunaambia nafasi za kazi hamna. Kwa unayechukia hiki chombo na hauna refa subiri hiki chombo kiondolewe utarudi hapa kulalamika na kulia mana hata kazi hutaona zikitangazwa wakati wenzako unasikia tu wamepta kazi. Naipenda Sekretarieti japo haijaninufaisha mimi binafsi.[/QUOTE]
 
Wengi wanao ichukia ni vigogo na watoto wao pia na wachache wasiojua thamani na umuhimu wa hiki chombo. Changamoto zipo na zinapaswa kurekebishwa na si kubadili sheria na kurudi kule kule tulipotoka ambapo wenzetu walikua wakipata kazi sie tunaambia nafasi za kazi hamna. Kwa unayechukia hiki chombo na hauna refa subiri hiki chombo kiondolewe utarudi hapa kulalamika na kulia mana hata kazi hutaona zikitangazwa wakati wenzako unasikia tu wamepta kazi. Naipenda Sekretarieti japo haijaninufaisha mimi binafsi.

Ni kweli sasa ndo hatutaziona hizo kazi hata zikitangazwa maana ndo watagawana wenyewe kwa vimemo huko...japo sekretariet ina mapungufu ila bora kuliko huu mfumo mpya...tusubir lakn
 
Wengi wanao ichukia ni vigogo na watoto wao pia na wachache wasiojua thamani na umuhimu wa hiki chombo. Changamoto zipo na zinapaswa kurekebishwa na si kubadili sheria na kurudi kule kule tulipotoka ambapo wenzetu walikua wakipata kazi sie tunaambia nafasi za kazi hamna. Kwa unayechukia hiki chombo na hauna refa subiri hiki chombo kiondolewe utarudi hapa kulalamika na kulia mana hata kazi hutaona zikitangazwa wakati wenzako unasikia tu wamepta kazi. Naipenda Sekretarieti japo haijaninufaisha mimi binafsi.

Mh! sijui kama kuna ukweli ndani yake, maana mi nimekosa amani kabisa na hiki chombo kwa asilimia 75, ila tuendelee kumwomba Mungu tu.
 
Back
Top Bottom