meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Sirikali haijafanya kitu hapo bado Mauaji ya albino yataendelea. Ushauri wangu Wawakamate WagangaWizara ya mambo ya ndani imepiga marufuku upigaji ramli ili kukabiliana na mauaji ya alnino nchini.
Source:TBC Taifa
cc: MziziMkavu
Tanzania kuna Sirikali Sio Serikali. Serikali ya Ukweli haiwezi Eti kupiga Marufuku (Ramli) eti ndio kupata Ufumbuzi wa Mauaji ya albino Serikali ya kweli ifanye uchunguzi wa kina kuhusu hao Watu wanaotaka Utajiri kwa njia ya mkato pamoja na hao Waganga Feki wanaojifanya kuwapa Watu Utajiri kwa kutumia Viungo vya Walemavu wa ngozi (Albino) na kuwakamata mara moja na kuwafikisha Mahakani. Serikali yetu ina Viongozi wengi wao ni wasanii tu.Imepiga marufuku bangi na gongo, je imefanikiwa?
Hata ukeketaji umepigwa marufuku lakini unaendelea miaka nenda rudi. Haya ni sawa na mambo ya imani.hili ni lakungwa mkono kwani jambo hili limekuwa ninagombanisha watu, watu wanauliwa, unaenda kwa mganga anakuambia jirani yako ndo kakuroga! mimi naamini tukishirikiana kwa katika utekelezaji wa sheria hii, itasaidia
Halafu waziri wakati akitangaza haya alisema waganga wenyewe wanawajua walipo kwani wanajenga vijumba (nafikiri ni zile wadi tunazoziona tukipita njiani) wanapofanyia kazi zao! Sasa wanashindwaje kuwadhibiti bila hata kupiga Marufuku ramli kwa matangazo.Sirikali haijafanya kitu hapo bado Mauaji ya albino yataendelea. Ushauri wangu Wawakamate Waganga
wanaotumia Viungo vya Binadamu kwa kuwadanganya watu kuwa Eti ukipata kiungo cha Binadamu cha Mlemavu wa Viungo
Utatajirika Haswa Waganga wa mikoa ya shinyanga ,Mwanza , Sumbawanga , na mikoa mingine ya ya nyanada za juu. Huo ndio
Ushauri wangu kupiga
Marufuku Ramli hakutosaidia kitu chochote Wauwaji bado wataendelea na kazi zao za kinyama kuwadhulumu Walemavu wa Viungo. Mwaka
1981 nilikuwepo nchini Zambia mjini Lusaka kulikuw ana imani ya kuwa ukipata mtu mwenye kipara kichwa chake ukifanyiwa uganga
kwenye Biashara zako waweza kuwa ni Tajiri wananhci wengi wao wenye vibara walikuwa wanauliwa ovyo sana nchini Zambia Sirikali
iwakamata Wahusika (Waganga ) wa kienyeji wanaosema hivyo na Tatizo likawa limekwisha. Sasa Serikali yetu klupiga Marufuku
Waganga kupiga Ramli sio Ufumbuzi wa kumaliza Tatizo la Mauaji ya WAlemavu wa ngozi Albino. WAganga hao watakuwa ni Waganga Feki.
Wizara ya mambo ya ndani imepiga marufuku upigaji ramli ili kukabiliana na mauaji ya alnino nchini.
Source:TBC Taifa
cc: MziziMkavu
Wizara ya mambo ya ndani imepiga marufuku upigaji ramli ili kukabiliana na mauaji ya alnino nchini.
Source:TBC Taifa
cc: MziziMkavu
Usiende kupiga Ramli kutazama afyaHalafu waziri wakati akitangaza haya alisema waganga wenyewe wanawajua walipo kwani wanajenga vijumba (nafikiri ni zile wadi tunazoziona tukipita njiani) wanapofanyia kazi zao! Sasa wanashindwaje kuwadhibiti bila hata kupiga Marufuku ramli kwa matangazo.
Wangeanza na mganga wa Ikulu,yule Sheikh Yahaya Jr. na mautabiri yake ya k.i.s.h.e.n.z.i
Mkuu Salary Slip Utabiri wa sheikh Yahaya junior Una uhusiano na Nini kuhusu WAlemavu wa ngozi (Albino)? Kwani huyo utabiri wa sheikh Yahaya junior alitabiri kitu gani Mpaka huyo Waziri Kupiga Marufuku Ramli?Niliwahi weka uzi hapa nikiitaka Albino wachukue tahadhari mara baada ya tamko la Sheikh Yayaha ila Moderator walifuta uzi wangu ila nashukuru leo serikali imeliona hili tatizo.
Hata huu utabiri wa sheikh Yahaya junior ni majanga tu kwani unaamsha vitendo vya kishirikina miongoni mwa wanasiasa na kuhatarisha maisha ya Alibino na ndio maana nikaone nitoe onyo kupitia uzi huo kwa Alibino baada ya utabiri ule wa Sheikh.
Wizara ya mambo ya ndani imepiga marufuku upigaji ramli ili kukabiliana na mauaji ya alnino nchini.
Source:TBC Taifa
cc: MziziMkavu