franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu na Naibu Spika imezungumzia wasiwasi wake khs maandamano yanayosisitizwa na Wabunge wa Chadema wakati wa Uchangiaji wa Hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani.
Wabunge hao wamesisitiza kuyahamasisha pale ikibidi kama Serikali legelege haitajitahidi kujirekebisha ktk kuboresha maisha ya watanzania...!
Mh H Kiwia wa Ilele Mwanza, alikwenda mbali zaidi pale aliposema maandamano kwake ni kama wazazi wake kisiasa, wakati wa Uchaguzi 2010, bila maandamano hayo ya wakazi wa jiji la Mwanza asingeweza kutangazwa Mshindi ktk uchaguzi huo....., alilieleza bunge leo asbh wakati akitoa mchango wake.
Serikali haiogopi maandamano, tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya mwenyekiti wa ccm mara nyingi tu.
Tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya rais kila mwisho wa mwezi ama katika baadhi ya matukio kama hotuba ya kulaani nfilamu ya mapanki na hotuba ya mbayuwayu.
Tumekuwa tukifanya maandamano kusherekea sikukuu mbalimbali kama siku ya ukimwi, siku ya mwanamke/mtoto wa kike na mambo mengine kama hayo.
Serikali inachoogopa ni maandamano yanayofanywa na vyama vya upinzani na kwa sasa wanaogopa sana maandamano yanayoitishwa na kuongozwa na chadema.
Maandamano kwa kwenda mbele kama kawa!

Sawa, lakini ukipenda maandamano usilalame ukipatwa na virungu, manundu, kuvunjwa viuno/shingo/miguu etc. Matokeo ya maandamano yanaweza pia kukufanya uishie mortuary na kesho yake maiti yako ikagombewa kisiasa. Hivyo wapenzi wa maandamano tuwe tayari kwa yote, ndio utamu/adha ya maandamano. Mwenye masikio na asikie.
Sawa, lakini ukipenda maandamano usilalame ukipatwa na virungu, manundu, kuvunjwa viuno/shingo/miguu etc.
Matokeo ya maandamano yanaweza pia kukufanya uishie mortuary na kesho yake maiti yako ikagombewa kisiasa. Hivyo wapenzi wa maandamano tuwe tayari kwa yote, ndio utamu/adha ya maandamano. Mwenye masikio na asikie.
Pia amelieleza Bunge kuwa maandamano ya CDM bado hayajaanza hizo ni mvua za rasharasha, siku watakapoona maandamano yanaanzia Mwanza kuelekea DAR na kutoka AR-Town hadi DAR Pia kutoka Singapo hadi DAR basi wajue shughuli pevu imeanza.Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu na Naibu Spika imezungumzia wasiwasi wake khs maandamano yanayosisitizwa na Wabunge wa Chadema wakati wa Uchangiaji wa Hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani.
Wabunge hao wamesisitiza kuyahamasisha pale ikibidi kama Serikali legelege haitajitahidi kujirekebisha ktk kuboresha maisha ya watanzania...!
Mh H Kiwia wa Ilele Mwanza, alikwenda mbali zaidi pale aliposema maandamano kwake ni kama wazazi wake kisiasa, wakati wa Uchaguzi 2010, bila maandamano hayo ya wakazi wa jiji la Mwanza asingeweza kutangazwa Mshindi ktk uchaguzi huo....., alilieleza bunge leo asbh wakati akitoa mchango wake.
sasa weewe mwita manyara umeandik nini? ni kama vile umeiponda hoja mwishowe unaiunga mkono ka 100%
au kama kauli ya jk kuwa afrika haijaendelea kwa sababu haina pesa
Peleka huko uzezeta wako, hatishiwi mtu hapa!!! Maandamano yatafanyika na magamba lazima mng'olewe. Nyie ndio mnamdanganya Kikwete kwamba mtamlinda kwa bunduki na mabomu kumbe mnazidi kumchimbia kaburi. Kamuulize Gadaffi hayo mabomu na risasi kibao alivyokuwa navyo vimemfikisha wapi?
Kumbuka ya Tunisia na Misri nao walikuwa na magari ya maji ya kuwasha, mabomu na risasi lukiachilia mbali virungu akini nguvu ya umma usicheze nayo kabisa. Kama uamini, endelea kumdanganya Kikwete aendelee kulala asitekeleze kilio cha Watanzania kupitia msemaji CDM halafu mtaona muziki wake!!!
Tiba
Kwa kitu gani ambacho askali Polisi,Magereza,Zimamoto watakashindwa kusimama pamoja na wananchi uthibitisho ni uchaguzi wa mwaka 2010 maeneo yote wanakokaa askari upinzani ulipata kura zaidi ya CCM,hao wapiganaji wetu watatuunga mkono tuu tukiamua kwa sababu wamepigika kuliko sisi bwanaaaaaaaaaaaaaaInaonekana unaota. Gadafi ameondolewa lini? Na kwa taarifa yako haondoki ng'o, wapinzani wanazidi kushikishwa adabu. Jana wameua kubwa lao bado kuwanyonyoa wanasiasa wao uchwara. Wapinzani wa Tz kama nao wataleta za kuleta.....kama mnavyoota sasa.....mtafanyiziwa (tena kihalali tu) mpaka mtakaposhika adabu. Endeleeni na ndoto za mchana....CCM inajivua gamba kabla ya kujichukulia ushindi wa kishindo 2015. Hakuna upinzani wa kweli Tz, labda utoke CCM.
Inaonekana unaota. Gadafi ameondolewa lini? Na kwa taarifa yako haondoki ng'o, wapinzani wanazidi kushikishwa adabu. Jana wameua kubwa lao bado kuwanyonyoa wanasiasa wao uchwara. Wapinzani wa Tz kama nao wataleta za kuleta.....kama mnavyoota sasa.....mtafanyiziwa (tena kihalali tu) mpaka mtakaposhika adabu. Endeleeni na ndoto za mchana....CCM inajivua gamba kabla ya kujichukulia ushindi wa kishindo 2015. Hakuna upinzani wa kweli Tz, labda utoke CCM.
Kwa kitu gani ambacho askali Polisi,Magereza,Zimamoto watakashindwa kusimama pamoja na wananchi uthibitisho ni uchaguzi wa mwaka 2010 maeneo yote wanakokaa askari upinzani ulipata kura zaidi ya CCM,hao wapiganaji wetu watatuunga mkono tuu tukiamua kwa sababu wamepigika kuliko sisi bwanaaaaaaaaaaaaaa
serikali haiogopi maandamano, tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya mwenyekiti wa ccm mara nyingi tu.