Hapo kuna ufisadi pesa zimepigwa haswaWameyanunua kwa bei gani ili nasi Wananchi tujiridhishe kiwa kodi yetu haijapigwa?
Toyota Landcruiser 70 2021 Prices
Prices for the Toyota Landcruiser 70 2021 start from $35,000 for the hardtop STD AL-wheel 3DR 4x4 to $47,150 for the top of the lineup hardtop DLX DSL 5DR 4x4.
Samia ameturuhisu tuhoji bila kuwindwa kama Digidigi.
Haya yataenda kuwabeba " Maafisa Hospitali" badala ya kubeba wagonjwa. Tumekuwa tukiona haya yakitendeka miaka yote.Wizara ya Afya imenunua magari 727 ya kubeba wagonjwa yatakayotolew a kwa kila halmashauri na hospitali za mikoa. Naibu Waziri, Dk Godwin Mollel amesema kila halmashauri inatarajiwa kupata magari mawili na hospitali ya mkoa itapata moja...
kuna uwezekano wa mkoa wako (Kigoma) kupata ambulance 17 zitakazosaidia kupiga hatua katika huduma za afya," alisema.
Una ushahidi? Hebu tuwekee hapa link.Hapo kuna ufisadi pesa zimepigwa haswa
Subiri mumeo atakuna naoUna ushahidi? Hebu tuwekee hapa link.
Jinsia yangu ni "me" kama huna ushahidi ungesema tu mbona unapanik?Subiri mumeo atakuna nao
Watuwekee gharama za manunuzi mbona hawasemi.Changamoto kubwa manunuzi yetu yamegubikwa na 10%,
Hapo watu wamepiga pesa balaa
We dada angu nakujua snJinsia yangu ni "me" kama huna ushahidi ungesema tu mbona unapanik?
Kama huna hoja please...We dada angu nakujua sn
Wagalatia watachukia BasiWizara ya Afya imenunua magari 727 ya kubeba wagonjwa yatakayotolew a kwa kila halmashauri na hospitali za mikoa. Naibu Waziri, Dk Godwin Mollel amesema kila halmashauri inatarajiwa kupata magari mawili na hospitali ya mkoa itapata moja.
Dk Mollel alisema hayo alipofanya ziara kukagua utoaji huduma na mandeleo ya ujenzi wa miundombinu na upatikanaji wa vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma.
"Tumenunua ambulance (magari ya kubeba wagon-jwa) 727 na tayari zimeanza kuingia na tumekubaliana angalau zifike ambulance 200, kuna uwezekano wa kila halmashauri kupata mbili na kila hospitali ya mkoa kupata, hivyo kuna uwezekano wa mkoa wako (Kigoma) kupata ambulance 17 zitakazosaidia kupiga hatua katika huduma za afya," alisema.
Haya magari yameagizwa muda mrefu bado hayajafika refer report ya CAG mwaka uliopitaWagalatia watachukia Basi