masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Kulipuka kwa suala la gesi kama muitikio wa wananchi huko Mtwara na Lindi limeleta mshtuko kwa wananchi wa Tanzania kwa kiasi ambacho hatukuzoea kuona.
Mimi kama Mtanzania nasikitika sana kuona vile wananchi walivyochoma moto mali yao na waliyoitokea jasho kwa kulipia kodi.
Mbaya zaidi ni wale kina mama , Mama Anna Abdalla na Mama Kasembe kuchomewa nyumba zao na watu kwa sababu zisizojulikana.
Hii si Mtwara tunayoifahamu.
Je ni gesi tu? au kuna lingine nyuma ya pazia?
Gesi yenyewe kwa sasa hivi ni harufu tu, lakini tayari imelipuka hadi mitaani, ikipatikana na kuvunwa je itakuwaje?
Naamini Serikali sikivu ya CCM itakaa chini na kujiuliza maswali magumu na ni lazima ipate majibu ya kuwatuliza wananchi wa Mtwara/Lindi katika sakata hili.
Kwa kudodosa tu tujiulize imekuwaje mpaka leo barabara ya Somanga-Nyamwage haijakamilika na leo ni mwaka karibu wa tano au sita toka uanze , kwa kilometa 60 tu, wakati tunafungua kila siku barabara nyingine za km 100 ndani ya miaka 3.
Tusije tuka take things for granted.