Serikali yangu ya CCM na suala la Gesi: Something is wrong here!

Serikali yangu ya CCM na suala la Gesi: Something is wrong here!

Fires dont build, they destroy!
Even the arsonists dont gain that much, apart from reducing others to their own poverty.

Will somebody respect you, Because you caused him/her misery?
Fires burn, burn even their originators!

Ngonera nzuri masikioni. Wimbo usiobadili mawazo ya wanyonge. Maneno yanayoongeza hasira. Mawazo yanayoleta chuki kwa watawala. Wanayasema bila kujua urefu na ncha za misumari hii.
 
Kama umeliona hilo basi nakuambia EVERYTHING IS WRONG kwa kuwa serikali wrong inaongozwa na chama wrong, kwa kutegemea wananchi hawaoni what is wrong. Pamoja na yote, two wrongs do not make one right but it makes two wrongs in fact it makes everything wrong.
 
Ngonera nzuri masikioni. Wimbo usiobadili mawazo ya wanyonge. Maneno yanayoongeza hasira. Mawazo yanayoleta chuki kwa watawala. Wanayasema bila kujua urefu na ncha za misumari hii.
Hujaeleweka mkuu, una hasira kwa sababu una akiba nzuri ya adrenaline au una usongo na kitu/ mtu.
Either way hutotatua tatizo lako zaidi ya kulipngezea.
 
Kama umeliona hilo basi nakuambia EVERYTHING IS WRONG kwa kuwa serikali wrong inaongozwa na chama wrong, kwa kutegemea wananchi hawaoni what is wrong. Pamoja na yote, two wrongs do not make one right but it makes two wrongs in fact it makes everything wrong.
I dont agree , if everything were wrong you would have to be six feet under, and presumably Syria being an alternative heaven!
If the ruling chama is wrong then it must have put there by the majority who are also wrong.
Which in fact reduces your entire argument to naught.

You must realise YOU are in the WRONG place.
 
busara inapokimbia silaha iliyobaki ni kutumia nguvu ,utaona askari polisi wakitawanywa kwenye maeneo husika ili kutisha wananchi ,walioona haki zao zikikiukwa .
 
Hapo betlehem umekosea,usisingizie chama cha upinzani, kwani mtoto yoyote anapokuwa na njaa na wewe mzazi unapeleka chakula kwa wageni mwisho wa siku unamwambia mtoto wako hakuna chakula unategemea familia yako itakuwa na amani?Mtu yoyote mwenye njaa mwisho wa siku lazima atakutafutia mahali pa kukukamata na kukuumiza kama siyo kukua kabisa ili japo aridhi kile kidogo.Ndugu yangu muogope mwenye njaa ni hatari
 
You must realise YOU are in the WRONG place.

Yes I am in the wrong place under a dictatorship of CCM a party by virtual of powerful state organs without any constitutional checks and balances. It is better had I been 6 ft under than living where everything is wrong not because I want but because wrong people and party have maneuvered to power.
 
Back
Top Bottom