Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Tumewachoka hawa watu.Kila siku ahadi hewa tu.
Kila nchi ina resources zake hivyo basi kwa Tz sio factor ya ku justify kuwa eti...ni dunia nzima wakati productivity yetu kutokana na vague polices za ccm iko very lowUnemployment ni janga la dunia, kila nchi ina changamoto hii, so acheni kudanganya watu kwa statistics ambazo ni obvious
Mtakoma bavicha, sijui breaking news za Nairobi mtazitoa wapi kigazeti chenu pendwa chaliWashindwe mara ngapi mkuu, mi naona wamebaki kuweweseka tu siku hizi, sioni la maana wanaloongea
Kweli eehHongera JPM. Songa mbele
Nitatoa hongera baada ya kuona yamelipwa maana awamu hii sarakasi zimekuwa nyingi sana. hata mleta mada nae anacheza sarakasi maana hajawa specific ni madeni gani? Kimsingi madeni ya serikali yetu pendwa ni mengi lzm tujue ni yapi yanayolipwa. Ya watumishi? Ya wazabuni? Ya mabenk? n.kJambo hili ni la kweli nalazimika kuamini kutokana na juhudi kadhaa zinazoelekea kufanikisha hilo. Hongera JPM
Kwani mwisho wa Oktober si wiki ijayo?
Siasa tupuWapigaji walikua wako vizuri kwa document
Unaidai ya nn wakati hamtaki nchi hii ipige hatua?Bombadier na yenyewe italipiwa?
$wissme
Ni kweli ni janga la dunia, lakini hiyo siyo faraja kwetu kwani kila nchi itapambana na hali yake. Hakuna atakayekuja kutusaidia eti kwa vile ni janga la dunia.Unemployment ni janga la dunia, kila nchi ina changamoto hii, so acheni kudanganya watu kwa statistics ambazo ni obvious
Tuna sera nzuri mno ever, low productivity yetu kwa kiasi kikubwa inatokana na umaskini wetu as a nation and as individuals. Hii inapelekea uwekezaji duni kwenye resources tulizo nazo na hivyo kuzalisha ajira kidogo in return. Lakini kama nilivyosema awali ni changamoto ya nchi zote duniani, whether tajiri au maskini.Kila nchi ina resources zake hivyo basi kwa Tz sio factor ya ku justify kuwa eti...ni dunia nzima wakati productivity yetu kutokana na vague polices za ccm iko very low
Sijasema ni faraja mkuu, nimesema ni janga la dunia na changamoto ya kila nchi. In other words, it's there to stay regardless which party is in power.Ni kweli ni janga la dunia, lakini hiyo siyo faraja kwetu kwani kila nchi itapambana na hali yake. Hakuna atakayekuja kutusaidia eti kwa vile ni janga la dunia.
afazali hela iludi kwenye mzunguko
Kama serikali ingekuwa inataka kulipa madeni ingelipa kwanza harafu waje watangaze kwamba wamelipa ili tuhakikishe.Pinga pinga Kama kawaida yenu