Serikali yamaliza uhakiki wa baadhi ya madeni inayodaiwa, kulipwa yote mwishoni mwa Oktoba, 2017

Tuna sera nzuri mno ever, low productivity yetu kwa kiasi kikubwa inatokana na umaskini wetu as a nation and as individuals. Hii inapelekea uwekezaji duni kwenye resources tulizo nazo na hivyo kuzalisha ajira kidogo in return. Lakini kama nilivyosema awali ni changamoto ya nchi zote duniani, whether tajiri au maskini.
You are talking irrelevant low productivity inatokana vipi na umasikini?wakati una sera nzuri na implementable?
 
You are talking irrelevant low productivity inatokana vipi na umasikini?wakati una sera nzuri na implementable?
Implementation needs resources mkuu, which are so limited being poor
 
sio kwa style ya kuingiza bil50. na kuzitoa thru faini. za trafik. hapo ni sawa nakuweka pesa mfuko washati ukazitoa ukaziweka mfuko wa suruali.

ela nzuri ya kuchochea mzunguko ni ile unayoitoa and other things remain constant(kod/faini).
da hao trafiki nna uchungu nao sana walinipiga 90 kisa nimepita taa nyekundu alafu ilikua bahati mbaya coz nilikua nyuma ya loli alafu liko taratibu so sikuweza kuangalia kama nyekundu zimewaka au la hamadi nakuta hawa hapa tumedakwa kama watu nane hivi hadi mwenye loli yani wale jamaa walikua wamezitegesha ile hela inaniuma mpaka kesho
 
Kama serikali ingekuwa inataka kulipa madeni ingelipa kwanza harafu waje watangaze kwamba wamelipa ili tuhakikishe.

Na sio kila kitu serikali inacho fanya iwe inatangaza. kwa sababu kunakuwaga na kufail. kama hii inshu ya acacia serikali fasta ilikimbilia kwenye media kujitangazia ushindi harafu kesho yake haikujua itakuwaje.
Wewe unaidai Serikali?
 
da hao trafiki nna uchungu nao sana walinipiga 90 kisa nimepita taa nyekundu alafu ilikua bahati mbaya coz nilikua nyuma ya loli alafu liko taratibu so sikuweza kuangalia kama nyekundu zimewaka au la hamadi nakuta hawa hapa tumedakwa kama watu nane hivi hadi mwenye loli yani wale jamaa walikua wamezitegesha ile hela inaniuma mpaka kesho

Acha kabsaa hakuna makosa yakuonya tena. Apo walitakiwa kukuonya tatizo kufunga hesabu kwa RTO Wameekewa FIXED AMOUNT.

nazinaenda TRA Baada ya hapo tra wanazikimbiza kuzificha hazina.
Ela kurudi kwnye mzuNGUKO sio leo.
 
Uzuri na mimi ni mtumishi so zinarudi kwenye posho na mshahara wangu na niliwaambia wale trafiki kuwa huu mji mdogo sana tutaonana na ofisi yangu lazima waje
 
Uzuri na mimi ni mtumishi so zinarudi kwenye posho na mshahara wangu na niliwaambia wale trafiki kuwa huu mji mdogo sana tutaonana na ofisi yangu lazima waje

DUH! UTAKUWA MCHEZO wakukomoana. wakija ukawafundisha adabu.
kama ulikuwa hujawakomoa wamekupiga faini 90,000. TRIP HII siWATAKUPIGA 450,000.

Wee wapotezee NA kuwa makini. WENYEWE WANASHINIKIZWA.
 
Lakani Kikwete hadi leo ntakufa nakulaumu...hulikua nanjia mbadala baada ya Bernard Membe Kupingwa na kundi la Fisadi Lowassa...ona hata Makonda Makonda AKA Bashite amekua na nguvu zaidi Riz1 ?? Duh!
 
Wanaleta takwimu feki Zitto akileta original wanasema akamatwe sio good lakini
 
Una hakiki baadhi halafu unayalipa yote hapo mimi sijaelewa hicho kiswahili
 
Back
Top Bottom