Serikali yamaliza uhakiki wa baadhi ya madeni inayodaiwa, kulipwa yote mwishoni mwa Oktoba, 2017

..wametimua watumishi kazi ili kupunguza mzigo wa kulipa sasa walipe madeni ...watu wamechoka na porojo...alijaa porojo yule waziri wa utumishi hadi amehamishwa wizara....watu wamechokaaa na porojo za utawala huu....
 
Mbona walisema wameshalipa madeni na makusanyo yamepanda au ninesikia tofauti
 
Unemployment ni janga la dunia, kila nchi ina changamoto hii, so acheni kudanganya watu kwa statistics ambazo ni obvious

Si alisema ataongeza Ajira anachojuwa nikupanga mission za kuuwa wanaomkosoa ni jini nyonya damu
 
Back
Top Bottom