vipofu wanapoongozana, 'kujiuzulu' siyo 'kujiudhuru'
BAKITA wamo humu eee, jitahidini kurekebisha kiswahili wengine wanakibomoa makusudi kabisaaa. Mfano neo bwana wanasema bana aah badilikeni.
Aseme nini na anasubiri barua yake ijibiwe?
Ni yeye mwenyewe,hakuna uwakilishi kwenye hili!!Je wakudhibitisha kujiudhulu kwako ni Rais au katibu wa wizara yako.?
mkuu hata mimi ilinishangaza! sana iweje katibu amsemee kwani ndiye aliyeandikiwa barua??Je wakudhibitisha kujiudhulu kwako ni Rais au katibu wa wizara yako.?
Hana lolote huyo angekuwa anataka kujiuzulu kweli na kama kweli amemtwanga mkwere barua ya kujiuzulu kwa nini asiite press conference kuujuza umma na kusema kuwa anasubiri majibu y barua yake ya kujiuzulu toka kwa Rais.
Hana lolote huyo angekuwa anataka kujiuzulu kweli na kama kweli amemtwanga mkwere barua ya kujiuzulu kwa nini asiite press conference kuujuza umma na kusema kuwa anasubiri majibu y barua yake ya kujiuzulu toka kwa Rais.
Je atafanyaka kazi gani hapo wizarani kama hiyo kapigwa stop?Nafikiri kila mtu ana namna yake ya kufikisha ujumbe wake kwenye jamii,uliyoisema ni mojawapo ya njia!!cha msingi tuheshimu mawazo yake!!
Ni kweli, kwa utamaduni wa viongozi wetu hakuna mwenye ujasiri wa kuachia ngazi kwa maana ya kujiuzuru. Na nijuavyo mimi kama kweli umedhamilia kuacha kazi huwezi kuomba utakachofanya ni kutoa taarifa kwamba kuanzia tarehe hii mimi siyo waziri tena. Raisi hwezi kumlazimisha mtu kufanya kazi.
Huyu Mh kama mlivyosema anapima upepo, sasa sina uhakika ameona unavumaje, na unavuma kuelekea wapi. Jibu analo yeye na Mh Pinda.