Serikali yaipa siku 24 kampuni ya Mohamed Enterprises kurudisha mashamba ya mkonge Korogwe

Wametumia wazungu ili wasijulikane ni wao
I agree. Naona jamaa alikuwa tishio ama kipingamizi flani kwa utawala huu. Kwanza nadhani walipishana sana kwenye issues za viwanda, sasa usije kuta wanadhani jamaa alikuwa anawasabotage kiaina. Kuna mengine hatuelezwi.
 
I agree. Naona jamaa alikuwa tishio ama kipingamizi flani kwa utawala huu. Kwanza nadhani walipishana sana kwenye issues za viwanda, sasa usije kuta wanadhani jamaa alikuwa anawasabotage kiaina. Kuna mengine hatuelezwi.

Mo hata siku ile Ikulu alikua anaulizwa kama ana maswali ila akawa anasema hapana
 
Mi leo nimeuliza tu kwamba yale yaliyomkuta Zacharia sio haya haya yanayomkuta Mo,ila sababu Zacharia ni mwanaume wa mikoani tena Tarime alijinusuru ila huyu sababu ni mwanaume wa Dar ndo hivyo tena

Zacharia arudishe mali za Nyanza Mo arudishe Mashamba ya mkonge........pole pole tu tutafika wakuu.
 
ina maana wakiona koooooooteeeee hawakupati, kinachobaki ni kusulubiwa tu ili urudishe........???

nadhani kwa akili za mzee yule anayeona mihimili mingine inamhelewesha, ikawa ndiyo SHORTCUT
 
Haiwezekani mtu mmoja amiliki ardhi kubwa tena ya kupewa na serikali alafu akaikopee pesa Bank bila ya kuiendeleza wakati maelfu ya wananchi wanaomzunguka hata bustani ya kulima mchicha hawana hilo halikubaliki kwa JPM
Kabisa,hatutaki ujanjaujanja tena
 
Hii Awamu ya Jiwe hawana chembe ya aibu hata kiduchu, hapa Naibu Waziri amevamia mashamba ya Mo huko Korogwe, na anataka ayagawe kwa wananchi...bado tu kuna mijitu humu inabisha kuwa Mo hajatekwa na serikali!

Link hii hapa:
 
2316D7A1-580B-483D-9F6F-49FF106BA08D.jpeg
 
Kichwa Boneti
Hivi wizara si ilisitisha maamuzi mapya juu ya ardhi Korogwe mpaka watakapo redefine mipaka?
Mbona tunapeana presha jamani!!
 
Back
Top Bottom