Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,848
hii ni nchi yetu sote na sio nyie wakubwa na familia zenu na wapambe wenu,mnatakiwa muwe na soni!
Tutafika December 2010 plan ya serikali itakuwa haijatoka......Miye naomba serikali inipe mwezi tu niandame my own "TRL Rescue Plan".. ambayo haitamhusisha mwekezaji wa nje halatu tulinganishe na plan yao; itakayoungwa mkono zaidi na Watanzania ndiyo ifuatwe!. I"m serious. Nitamtafuta Kawambwa kama atakubali kunisikiliza.. we can't let these people sell even the little things we have!
Miye naomba serikali inipe mwezi tu niandame my own "TRL Rescue Plan".. ambayo haitamhusisha mwekezaji wa nje halatu tulinganishe na plan yao; itakayoungwa mkono zaidi na Watanzania ndiyo ifuatwe!. I"m serious. Nitamtafuta Kawambwa kama atakubali kunisikiliza.. we can't let these people sell even the little things we have!
Tataendelea mpaka lini tulitoa ATC kwa Africa kusini tukairudisha,Tukawapa Richmund Tukairudisha shirikala simu,kiwira n.k na mengi kuyataja ni gharama gani tunazitumia ktk michezo hiyo ni bora ktk kuyarejesha makampuni ziaandamane na kuchukuliwa hatua kwa walioshiriki ktk kupitisha maazimio hayo vinginevyo tutakua tuanashiriki ktk mduahara usio isha na kuwapa nafasi wakina JK na washiriki wake kupata mwanya wa kutuibia INATOSHA INATOSHA !Kwani hao waliolitoa hilo shirika kwa wahindi ni nani?nafikiri na umbumbumbu wangu baraza la mawaziri chini ya mkulu ndio liloridhia hilo shirika wapewe wahindi,watu walipega kelele toka mwanzo lakini wakubwa wakaweka pamba masikioni,je hiyo hasara mtaifidia vipi kama si kuwaumiza tu wananchi ,ah yaani jamani wakubwa hiyo ten pasenti inapeleka pabaya nchi yetu,hii ni nchi yetu sote na sio nyie wakubwa na familia zenu na wapambe wenu,mnatakiwa muwe na soni!
Advocate Jasha!Tataendelea mpaka lini tulitoa ATC kwa Africa kusini tukairudisha,Tukawapa Richmund Tukairudisha shirikala simu,kiwira n.k na mengi kuyataja ni gharama gani tunazitumia ktk michezo hiyo ni bora ktk kuyarejesha makampuni ziaandamane na kuchukuliwa hatua kwa walioshiriki ktk kupitisha maazimio hayo vinginevyo tutakua tuanashiriki ktk mduahara usio isha na kuwapa nafasi wakina JK na washiriki wake kupata mwanya wa kutuibia INATOSHA INATOSHA !
Re: Serikali yaichukua rasmi kampuni ya reli (TRL)
Waandishi Wetu
SERIKALI itachukua hisa zake kutoka kwa mbia wake kwenye kampuni ya TRL, kwa lengo la kuzinunua hisa 51 za RITES katika kampuni hiyo ili kuinusuru kampuni hiyo iliyogubikwa na migogoro mingi.
Taarifa iliyotolewa jana na ...., Phillemon Luhanjo, Taarifa hiyo ya serikali imesema uamuzi wa kwanza wa msingi ni kwamba serikali ianze mara moja kujadiliana na RITES, mbia wa Serikali katika kampuni ya TRL, kwa lengo la Serikali kununua hisa 51 za RITES katika kampuni hiyo.
Miye naomba serikali inipe mwezi tu niandame my own "TRL Rescue Plan".. ambayo haitamhusisha mwekezaji wa nje halatu tulinganishe na plan yao; itakayoungwa mkono zaidi na Watanzania ndiyo ifuatwe!. I"m serious. Nitamtafuta Kawambwa kama atakubali kunisikiliza.. we can't let these people sell even the little things we have!
-Nadhani hili shirika lina matatizo ambayo pia yanachangiwa zaidi na upande wa serikali
Sidhani kaa kuna jambo la kushangilia hapa. Maana wanataka kumtoa mhindi wa RITES wamtafute 'mlaji' mwingine..kaz kwelkwel. Hizo hisa probably zitauzwa kwa hasara, na atatafutwa 'mwekezaji' mwingine na mambo yatakua yaleyale. Corruption cycle.