ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Nimelia sana ingawa sina mtoto kwenye huo msiba. Poleni wafiwa. Nakumbuka Jinsi tulivyokuwa tunasafirisha watoto wetu kwenda shule Lushoto Mungu alitujaalia miaka minne walienda salama.
mi nimekumbuka jinsi kipindi nasoma tukienda tour...... tulikua tunaimba wenyew kwenye gari mpaka tunafika.
R.I.P