Serikali yagharamia msiba wa Wanafunzi wa ajali Arusha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
81d6184b41849358b69b3b4308a53aa9.jpg

Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imegharamia Sanda pamoja na majeneza kwa ajili ya Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent waliopoteza maisha mapema jana kwenye ajali iliyokuwa ikihusisha safari ya kimasomo.

Akitoa taarifa hiyo leo Meya wa Jiji la Arusha , Mh. Calist Lazaro amesema kuwa taarifa za awali zinaonyesha kuwa tayari Serikali imekwishalipia gharama za majeneza na sanda ya kuhifadhia miili ya marehemu ambao kesho wanatarajiwa kufanyiwa ibada katika Uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid.

Aidha, Mh. Lazaro amesema kuwa viongozi mbali mbali wakiwemo mawaziri pamoja na wabunge bado wanaendelea kukusanyika katika eneo la shule ya Lucky Vicent kwa ajili ya kikao na baadae majira ya saa tisa au kumi taarifa rasmi ya serikali itatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
 
Safi sana, Hongereni Serikali na Jamhuri.

Poleni sana Wafiwa na WaTanzania kwa msiba huu mzito. Ni pigo kwa Taifa. RIP Our Angel aka Watoto wetu na Walimu na Dereva.

81d6184b41849358b69b3b4308a53aa9.jpg

Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imegharamia Sanda pamoja na majeneza kwa ajili ya Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent waliopoteza maisha mapema jana kwenye ajali iliyokuwa ikihusisha safari ya kimasomo.

Akitoa taarifa hiyo leo Meya wa Jiji la Arusha , Mh. Calist Lazaro amesema kuwa taarifa za awali zinaonyesha kuwa tayari Serikali imekwishalipia gharama za majeneza na sanda ya kuhifadhia miili ya marehemu ambao kesho wanatarajiwa kufanyiwa ibada katika Uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid.

Aidha, Mh. Lazaro amesema kuwa viongozi mbali mbali wakiwemo mawaziri pamoja na wabunge bado wanaendelea kukusanyika katika eneo la shule ya Lucky Vicent kwa ajili ya kikao na baadae majira ya saa tisa au kumi taarifa rasmi ya serikali itatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
 
81d6184b41849358b69b3b4308a53aa9.jpg

Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imegharamia Sanda pamoja na majeneza kwa ajili ya Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent waliopoteza maisha mapema jana kwenye ajali iliyokuwa ikihusisha safari ya kimasomo.

Akitoa taarifa hiyo leo Meya wa Jiji la Arusha , Mh. Calist Lazaro amesema kuwa taarifa za awali zinaonyesha kuwa tayari Serikali imekwishalipia gharama za majeneza na sanda ya kuhifadhia miili ya marehemu ambao kesho wanatarajiwa kufanyiwa ibada katika Uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid.

Aidha, Mh. Lazaro amesema kuwa viongozi mbali mbali wakiwemo mawaziri pamoja na wabunge bado wanaendelea kukusanyika katika eneo la shule ya Lucky Vicent kwa ajili ya kikao na baadae majira ya saa tisa au kumi taarifa rasmi ya serikali itatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Nifaraja kwa wafiwa R.I.P
 
Msije kuugeza msiba wa kisiasa na serikali isije kuanza kutunishia wapinzani misuli, wote watakaoshiriki hiyo ibada na msiba huo wapewe nafasi sawa kulingana na itifaki,isije tokea serikali ikawatenga baadhi watu kwa sababu za kisiasa. Huu msiba ni wa kitaifa na Afrika Mashariki.
 
Kushiriki msiba ni namna ulivo guswa sasa mambo ya kisiasa yanatoka wapi tena msiba huo sio wa cuf ccm wala chadema so Mimi binafs nisinge penda kusikia siasa kwenye msiba
 
Msije kuugeza msiba wa kisiasa na serikali isije kuanza kutunishia wapinzani misuli, wote watakaoshiriki hiyo ibada na msiba huo wapewe nafasi sawa kulingana na itifaki,isije tokea serikali ikawatenga baadhi watu kwa sababu za kisiasa. Huu msiba ni wa kitaifa na Afrika Mashariki.
Itawatengaje kwa mfano?
 
Naona siasa unazileta mwenyewe,meya wa jiji unajua anatokea chama gani?na serikali imeshikwa na chama gani?

Kama msemaji ni meya basi jua wameweka siasa kando na kuungana kuomboleza msiba mzito kwa pamoja kama Taifa lenye mshikamano
Msiba utageuka kuwa siasa
 
Angalau wamejitambua kwa kuepuka kauli kama zile za tetemeko halikuletwa na serikali. Nilikuwa naogopa kusikia kauli ya serikali maana najua wangewavunja moyo wafiwa. Sasa naona wametambua walikosea kule kagera
 
Back
Top Bottom