Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,582
Mgimwa anasema baada ya kubanwa sana jana serikali imeamua kuondoa ongezeko la kodi iliyokuwa imependekezwa kwenye mafuta .
mtakumbuka michango ya wabunge makini Mdee, Mnyika , Lissu jana , imewafanya kuondoa ongezeko hilo.
Bora mguswe ili muugulie maumivu labda mtaelewa nini maana ya kuwa na viongozi Mafisadi...Na kuanzia July mosi huo mziki wa bima za magari haufai! Eti lori la canter au kitipa cha mchanga nilichokuwa nalipia 80,000 third party sasa natakiwa kiulipia 750,000! kwa mwaka! Hapa serikali ya CCM imegusa watu wa kati ambao ndio wengi tunaoibeba!
Mgimwa anasema baada ya kubanwa sana jana serikali imeamua kuondoa ongezeko la kodi iliyokuwa imependekezwa kwenye mafuta .
mtakumbuka michango ya wabunge makini Mdee, Mnyika , Lissu jana , imewafanya kuondoa ongezeko hilo.
Ni kuwa zile kodi mpya za mafuta , isipokuwa ile ya fuel levy ambayo ni shilingi 50 per litre haikuondolewa ila zile nyingine za mafuta zimeondolewa ktk mswada wa sheria ya fedha, hiyo ya fuel levy ni kwa ajili ya kupeleka nishati vijijini kupitia REA , sheria ya fedha imepitishwa muda huu.
Yaani ukweli unaujuwa umeusikia na kuuona lkn you cant appreciate? Ndio tatizo la magamba mnaunga mkono hoja kama kilaza mmoja toka kwa magamba wenzako jana anasema naunga mkono asilimia mia 200 halafu malalamiko kibao, hata hapa unalaumu mambo ya msingi na unasema ni unconstitutional lkn moyo uko huko huko kwa magamba hata aibu huna.Kwenye mini bajeti atairudisha akidai anafukia mashimo bila ya kutuelezea ni nani kayachimba. Kodi za magari chakavu bado ni kero hasa kwa mitambo mikubwa ambayo na huu umasikini wetu hatuna jinsi. pia ongezeko la vehicle licence ni wizi wa mchana kweupe kabisa. Yawaje gari lilelile lilundikiwe kodi kibao? Double taxation is unconstitutional.............and sinful! Nifahamuvyo siyo cdm tu waliolia na kibanio cha kodi. By the way are u sympathetic na hawa magwanda hadi ukawavika vilemba vya ukoka?
mimi nataka kujua kuhusu pombe nayo imepita??Vipi kuhusu kodi ya SIM card (1000/-) kila mwezi nayo imepita?. Halafu vipi kuhusu ushuru wa magari ambayo serikali inayaita chakavu, ile 25% badala ya 20% ya mwanzo kwa magari yenye umri wa zaidi ya miaka 10 tangu kutengenezwa nayo imepita?. Je kuhusu kodi ya kuhamisha fedha, Mpesa, tigo pesa n.k nazo zimepita?. Ama kweli CCM WAMACHOKA HADI KUFIKIRI. Sasa watanzania ndo akili itawaingia na kujua kuwa nchi imeshauzwa.
Naomba nisaidie kujua haya machache tafadhari.
kawaida hujui kuwa bajeti yetu inategemea walevi??Hiv beer zimepanda bei??naomba mnijuze hilo tu
kawaida hujui kuwa bajeti yetu inategemea walevi??
hivi wote tukaamua tusinywe pombe itakuwaje?