Serikali yafuta kipengele cha adhabu ya miaka 3 jela kwa watakaoshindwa kudai risiti

Magari Aina Zote

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
3,076
523
Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dkt. Philip Mpango, amefafanua adhabu ya kosa la kutotoa ama kudai risiti katika manunuzi na kusema kuwa serikali imefuta kipengele cha kufungwa na pia faini itatozwa kulingana na ghamara ya bidhaa itakayonunuliwa.

Akizungumza leo Mjini Dodoma na kupitia Shirika la Habari la Taifa, Dkt. Mpango amesema kuwa wameamua kufanyia marekebisho sheria hiyo kutokana na maoni ya wadau mbalimbali lakini bado adhabu itatolewa kwa mtu yeyote asietoa ama kudai risiti wakati wa mauzo.

Dkt. Mpango amesema kuwa moja kati ya faida kwa wafanyabishara katika kutoa risiti ni pamoja na kuweka rekodi nzuri katika biashara lakini pia na mnunuzi kujua ni kiasi gani umekatwa kwa ajili ya kodi.

Amesema kuwa sheria waliyoiweka sasa adhabu itatolewa kutokana na ukubwa wa mauzo ya mfanyabiashara ili kuwalinda wafanyabiashara wadogo ambao watakuwa wanatenda makosa hayo ili kuwakumbusha umuhimu wa kutoa risiti katika mauzo yao.

Ameeleza kuwa lengo kuu la kufanya hivyo ni kujenga taifa lenye utamaduni wa kulipa kodi lakini pia fedha hizo zitasaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo katika sekta ya Afya, Elimu na maeneo mengine.

Dkt. Mpango amesema kuwa wapo wafanyabiashara wengine wanauza mamilioni ya shilingi lakini hawatoi risiti za mauzo yao jambo ambalo linaikosesha serikali mapato halali na pia mnunuaji anakua hajui ni kiasi gani cha kodi amekatwa kutoka na manunuzi ya bidhaa hizo.
 
nchi ya vilaza hii ,jitu linakurupuka eti miaka mitatu jela kama hujatoa risiti ,natabiri kuanguka kwa uchumi wa tanzania muda si mrefu
 
Kuna tofauti gani ya kupokea au kutopokea risiti iwapo vendor anatumia kitabu kuandika badala ya electronic register. What makes the government believe mfanyabiashara atakuwa mtu mwema sana awezi kuwa na kitabu kingine cha risiti na baadae akakichakua atakavyo, halafu ukisema upite kwa kila vendor anaetumia kitabu kuhakiki hesabu zake ndio udai mauzo hili zoezi si inabidi huko TRA waajiri maelfu ya watu zaidi na kazi yenyewe itakuwa painstaking.

Faida pekee ya risiti kwa mteja ni atakapo taka kurudisha bidhaa lakini wakusanya kodi wanamtindo mwingine kabisa wakutaka chao kuhakikisha mauzo yapo electronically.

Just common sense kwanini wafanyabiashara Tanzania awataki electronic machines kwenye maduka yao wala awana shida na vitabu mteja achukue asichukue risiti kwao doesn't make much different it all falls down to individual honesty. Hawa majamaa wanaokuja na fikra ni Phd na washakuwa wakurugenzi ya mashirika yetu; kaazi kweli kweli.
 
Hapo afadhali maana hiyo adhabu ingeleta chuki kwa Serikali badala ya ushirikiano
 
Hehehe! wameona walivokua wamepotea
Hawa jamaa kwa kukurupuka na kutangaza wanashangaza sana.

Kununua pipi ya Tshs.50 hakuhitaji risiti maana hata cost ya printing yenyewe inakaribia hiyo 50.
Kutokudai risiti kwa kitu cha 500 unipige jela miaka 3 Are you out of your mind? Its a shame wameona sasa hivi haya matope, kama waziri alitakiwa anotice kitu kidogo kama hiki na sio kusubiri hadi aambiwe.
 
Bass's bandugu!;punguza munkari washafuta!!
washajua kosa lao tena mheshimwa PhD hapo!!aliweka upuuz huo
 
PhD zingine hizi sijui za wapi swala hilo linaonekana kabisa madhara yake kwa jamii mpaka majadiliano na wadau....mwingine kule alisema tunataka watalii matajiri ni Prof katika kuwachaji VAT...
 
Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dkt. Philip Mpango, amefafanua adhabu ya kosa la kutotoa ama kudai risiti katika manunuzi na kusema kuwa serikali imefuta kipengele cha kufungwa na pia faini itatozwa kulingana na ghamara ya bidhaa itakayonunuliwa.

Akizungumza leo Mjini Dodoma na kupitia Shirika la Habari la Taifa, Dkt. Mpango amesema kuwa wameamua kufanyia marekebisho sheria hiyo kutokana na maoni ya wadau mbalimbali lakini bado adhabu itatolewa kwa mtu yeyote asietoa ama kudai risiti wakati wa mauzo.

Dkt. Mpango amesema kuwa moja kati ya faida kwa wafanyabishara katika kutoa risiti ni pamoja na kuweka rekodi nzuri katika biashara lakini pia na mnunuzi kujua ni kiasi gani umekatwa kwa ajili ya kodi.

Amesema kuwa sheria waliyoiweka sasa adhabu itatolewa kutokana na ukubwa wa mauzo ya mfanyabiashara ili kuwalinda wafanyabiashara wadogo ambao watakuwa wanatenda makosa hayo ili kuwakumbusha umuhimu wa kutoa risiti katika mauzo yao.

Ameeleza kuwa lengo kuu la kufanya hivyo ni kujenga taifa lenye utamaduni wa kulipa kodi lakini pia fedha hizo zitasaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo katika sekta ya Afya, Elimu na maeneo mengine.

Dkt. Mpango amesema kuwa wapo wafanyabiashara wengine wanauza mamilioni ya shilingi lakini hawatoi risiti za mauzo yao jambo ambalo linaikosesha serikali mapato halali na pia mnunuaji anakua hajui ni kiasi gani cha kodi amekatwa kutoka na manunuzi ya bidhaa hizo.
Mbona viongozi wa wa awamu hii mnaabisha Taifa hivi kwa kutokuwa na Semi/Msimamo/Maamuzi Thabiti,yenye Tija na Yakinifu kwa Taifa na Kimataifa.
RAI YANGU: HEBU MBADILIKE HARAKA SANA NA KUWA NA KAULI ZENYE UHAKIKA/TAFITI NA MAAMUZI YENYE FAIDA KWA TAIFA NA WANANCHI KWANI MNATUFANYA WANACHI KUPOTEZA UAMINFU NA IMANI KWENU MLIOPEWA DHAMANA.
MFANO SUALA LA MUHIMBILI PIA KUTOA CHAKULA KWA WAGONJWA NALO BADO NJIA PANDA.
HEBU KUWENI MAKINI NA MAISHA YA WENZENU MAANA HESABU KILA MTU ATAITOA YA KWAKE, NA KUNA MAISHA BAADA YA HAYA YA DUNIANI.
NI VEMA MKAWA KARIBU NA MUNGU ILI AWAPE FIKRA/MAWAZO/MAAMUZI YENYE CHANYA NA TIJA KWA TAIFA... NA SIYO POLITICAL PROPAGANDA TU.
 
Msomi/wasomi asiye/wasio na haekima/busara, elimu yake/yao huleta madhara badala ya faida kwa jamii. Changamoto kubwa ni kujua ni nani mwenye busara/hekima ili tumpe nafasi ya kuamua kwa niaba yetu.
 
Back
Top Bottom