Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Hapa umekosea na kama ni tatizo la chuo chako au fani yako jiangalie. Nafikiri fanya uchunguzi zaidi. Mbona SUA wameanza Field practicals na pesa wamepata? Who are you? a student?
Serikali imefilisika ambapo inadaiwa kuwa hazina haina kitu kitendo kilichosababisha bodi ya mikopo kushindwa kuwapa pesa wanafunzi waliopo kwenye mafunzo kwa vitendo.