Angalia na upande wa pili kiuchumi, ambao ndio wa msingi zaidi na manufaa kwa wananchi na maendeleo yao. Ushindani kwa upatikanaji na bei wa hiyo nishati muhimu ni jambo la kheri kuliko hiyo dhana yako ya kufikirika ikiongozwa na mtazamo hasi.Serikali na kufanya biashara!!Wacha tuone.
Nini tena?Too much
Serikali na kufanya biashara!!Wacha tuone.
Wasisahau kufufua kampuni ya mabasi KAMATA nchi nzima,,watu wanapiga hela sana hii sekta,,serikali inaachia pesa nyingi tu..[emoji58][emoji58]
Tunajenga taifa hodhi la ajabu sana. Kupanga ni kuchagua, vituo vya mafuta ni pety buss kwa sasa wapo wajasiliamali wengi wadogo na wa kati. Endapo lipo swala la usalama bora serikali ingejipanga kuagiza bulk pekee.