Hizo ndio zetu,badala ya kutafuta utatuzi na kuboresha, wao wanatafuta njia ya kurithishana kimtindo.Wampe Kingunge maana ndiye Fundi wa mambo haya mfano wake ni Ubungo naParking za mjini
MkuluHizo ndio zetu,badala ya kutafuta utatuzi na kuboresha, wao wanatafuta njia ya kurithishana kimtindo.
Waipe CCM kama walivyofanya kwa viwanja vingine, si watasema hao sasa wana uzoefu wa kuendesha viwanja kwa ufanisi.
Mkulu
This has nothing to do with kurithishana kimtindo.
Ili kuweza kusimamia ule uwanja,inahitajika PROPER MANAGEMENT, nje na ile ya serikali,provided atakayeshinda hiyo Zabuni, awe na UWEZO NA UZOEFU isiwe yale ya ........[/QUOTE]
Bonnie, hilo ndilo linalotafutwa hapo! Kwanza tunajitangaza kuwa tumeshindwa,kisha tunawapa tuwatakao, halafu ulaji kwa ulaini.... ndio Tanzania hiyo.
Najua wanafuata ushauri kuntu waliopewa na mkomunisti mjasiriamali KINGUNGE.
Nchi tamu hii we acha tu
Akipewa Kingunge hata mapato atakuwa hatangazi yeye zaidi zaidi atakuwa anatangaza hasara kama Ubungo pale eti madaraja yanavunjika mabus yanakuja machache....pale itakuwa visingizio vya mvua na jua kali limewaka watu wameshindwa kuja.
...hahaha
pata picha akianza kutoa malalamiko kuhusu ukusanyaji mapato pale kivukoni atasema tangu mbagala iwe daborodi wateja wa kivuko wamepungua sana.
Serikali yataka kufunga uwanja mpya wa Taifa
"Tunaweza kusimamisha kabisa matumizi ya Uwanja wa Taifa mpaka hapo mzabuni atakapopatikana, hii inatokana na serikali kutumia fedha nyingi za uendeshaji wake huku mapato yanayopatikana hayatoshelezi,"alisema.
Na hakuna tutakachoweza kama bado tunaendelea kuwa na viongozi kizazi kipya kama NYALANDU (naona hata kumwita Mhe. naidhalilisha nafsi yangu) wanaoongea pumba mbele ya kamera ya television kuhusu kuulinda ufisadi bila hata aibu.Sisi sijui lini tutakuwa serious, Yana hakuna tunachoweza. Kila kona kuna UFISADI.