Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Mkuu toa explaination kidogo ya mtu mmoja kumaliza miaka miwili tofauti
 
Bahati gerson msigwa kamaliza form4 1994?
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
we jamaaa huoni aibu,,kwa miaka hii idara ya ajira imekuwa ni jicho la wengi sana pia kumbuka kuwa siku hizi kila kitu kipo kielectronic zaid sasa hawa jamaa laiti wangekosea kwa mtu mmoja au wawili tungesema ni sawa ila kwa hao walioletwa na mleta mada ni wengi sana na nahisi mleta mada alichoka kuendelea na hii kazi ya kufukunyuwa ila inaonekana walimu hewa wapo wengi sana kwenye hizo ajira mpya
 
Awamu ya tano mengi ni maigizo ,cjawah ona
 
Ishitakiwe kwa mujibu ya sheria ya Takwimu iliyoandaliwa kutisha wapinzani
 
Duuuh, we jamaa kiboko aisee.., ahsante kwa uchunguzi wa kina, wengi wetu hatuna muda wa kuchunguza vitu kwa kina namna hiyo, aisee...!!!
 
Hao wote wanaingizwa kwenye payroll na kulipwa mishahara kama kawaida, watumishi hewa wanarudi taratibu kwenye payroll, huu ni ufisadi na tunarudi kulekule kwenye wizi wa ghost workers!
 
Utetezi huu pelekea watoto wa chekechea, sio watu wazima wenye akili zao, hivi hayo makosa yalivyo so well sculpted namna hiyo unathubutu kusema ni bahati mbaya?, hapo mtu inaonekana alikaa akawa anasuka namna nzuri ya kuingiza hayo majina feki, wewe useme ni bahati mbaya, watz sio wajing hivyo, no!
 
Nimesoma comments zote kweli kaz bado ni ngumu, aina za ufisadi zinazidi kuibuka.
 
Hivi inakuwaje? Watu wanalipwa mishahara kufanya upuuzi huu?
 
Don't stoop too low! Yaani hata kosa la uchapishaji ni kuajiri mara mbili. Wale wenye hiyo nia hawafanyi hivyo. Ni wajanja kuliko unavyofikiria. Na mtu yeyote anayedhani huo ni ushahidi wa ufisadi inabidi ajitathimini mwenyewe. Hakuna mwenye akili mbovu mwenye nia ufisadi atafanya hivyo. Naona sasa tunakosa cha kuchangia!
 
Jaribu kugicha ujinga wako
 
sasa huo ni ushahidi kweli?mi naona hapo umeoanisha majina yako na majina ya necta
 
huu ni upigaji wa moja kwa moja, yaani waalimu hewa, mishahara hewa na watu wenye vigezo wamepigwa pending
 
Mhhh Ngachoka mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…