KunjyGroup
JF-Expert Member
- Dec 7, 2009
- 352
- 26
Strains brings development, big up Michael Sata. achana na Maccm, hayana sera.
Umeelewa bandiko? In fact linachafua wapinzani wa CCM....
Nadhani rais Sata hakuwa na nia mbaya ktk kutumia fedha kwenye miradi ya maendeleo. Sema tu hajapiga hesabu zake vizuri ndio maana kaanzisha miradi mingi bila kuzingatia uwezo wa mfuko wake. Ila at least inajulikana hizo hela zimetumika wapi tofauti na huku kwetu ambapo tumezoea kusikia upotevu
Serikali ya Zambia haiwezi kufilisika kisirisiri. Tumeshuhudia nchi kadhaa zikiyumba kiuchumi na dunia nzima inajua. Angalia nchi kama Ugiriki ilivyodorora kiuchumi kila kitu kikaharibika na dunia ilijua. USA ilipotikisika kiuchumi kila mtu alijua.
Angalia nchi za Ureno, Ufaransa, Hispania na Italia zilivyoanza kuhisi hali mbaya ya kiuchumi kila kitu kikawekwa wazi na wananchi kujiandaa kukabiliana na hali hiyo.
Raisi Michael Satta hawezi kuwa mpuuzi kiasi cha kutumia fedha zote katika miradi bila kujua uwezo wa nchi yake hadi kupelekea nchi kufilisika, wala siamini kama kweli serikali yake imefilisika. Kilichopo hapa ni siasa tu za majitaka ya mtaroni za wapinzani wake kwakuwa ameonyesha kuwa anaweza kufanya kazi kwa manufaa ya wananchi wake badala ya kuzifuja fedha za umma kwa manufaa yake binafsi.
Mleta thread kunjygroup tupe reliable source au link ya hizi taarifa zako tuzihakiki.
Nadhani rais Sata hakuwa na nia mbaya ktk kutumia fedha kwenye miradi ya maendeleo. Sema tu hajapiga hesabu zake vizuri ndio maana kaanzisha miradi mingi bila kuzingatia uwezo wa mfuko wake. Ila at least inajulikana hizo hela zimetumika wapi tofauti na huku kwetu ambapo tumezoea kusikia upotevu
Satta, mpendwa wa chama fulani hapa nchini; wenye akili tulijua....
Government ikifilisika kuna mambo mbali mbali yatajitokeza, mfano kwenye mishahara lakini hii ya kulishwa "sources at Ministry of Finance and Bank of Zambia have disclosed" ni siasa za maji taka.
Serikali mpya ya Zambia ilipoingia madarakani, nilisifia sana hapa hapa JF msimamo wake wa kizalendo na wengi wenu mulikuwa na mashaka nayo. Nilikanusha vikali... Sasa someni hapa.
President Michael Sata's government is really running broke with financial resources after exhausting all the money on grand projects meant to appease electorates in various parts of the country in order to win votes, sources at Ministry of Finance and Bank of Zambia have disclosed.
According to sources, ailing dictator -Sata has committed government treasury to so many unplanned and unbudgeted projects through mere pronouncements that were meant to win political support.
"Can you imagine this man was just waking up like God during the creation of the earth and would say I want a road, a stadium, a university, a school, a hospital, a district here and there without consultation with the government treasury and expected those things to merely emerge or germinate like plants using rain water," sources said.
Sources said Mr. Sata has really put a huge strain on the government treasury and most of those projects may actually never be finished resulting in having a country that will have so many incomplete buildings and roads or some that will be highly compromised due to incomplete or poor construction.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Jamaa hajaweka source hat aya hovyo tuu.Pia alivyoiongea ni km anataka kuitumia kuwatisha watz...pi anasahu kuwa upatu wetu tuliowpaigia wachina kwa mali za zambia ni dhambia nyingine ya JK ,kutoka y anchini kwetu, na sasa anachofanya kwa Congo.
Wachina wameenda mbali zaidi ya kuwaibia shaba kupitia Tanzara ila pia biashara ziuazo ushindani,ukwepaji kodi na wizi wa hawa wafanyabiashara mchana mjini, huku ni wachimbaji wa madini maporini.
Pia zambia kufilisika si ajabu hata Dubai ilifilisika na hadi sasa inaendeshwa kwa mkopo wa Abu Dhabi.Sasa kwanini iwe ajabu kwa zambia waliopokea nchi imetimbwa km CCM ya leo na Tanzania yetu.
Kwa nini kila kitu ni CHADEMA vs CCM tu? Kwani hakuna jinsi ngedere tunaweza kujadili bila kuiingiza CCM?