Mr president! Nasema na wewe. Kwanini serikali yako umeifanya kuwa serikali ya visasi, vijembe, kejeli na maneno yaliyojaa ukakasi?
Nakumbuka kipindi cha kampeni zako ulikuwa mpole, mnyenyekevu na mtiifu. Maneno yako yalivuta maelfu ya watanzania na kupelekea ushindi wako.
Nilishuhudia ulipopita moshi na msafara wako uliojazwa na wasanii kibao, ukiwa uwanja wa mashujaa, ulisema mengi ila zaidi ulisema SITAWAANGUSHA.
Mr president tayari umeshatuangusha. Tunakwambia tuna njaa, unatuuliza "kwaiyo nikawapikie?". Hatukutegemea.
Sasa maisha ni magumu kwa watanzania masikini, tunayo njaa, hali ya ukame imeshamiri, ila hutaki kusikia.
Hali ya uchumi siyo nzuri, makampuni yanatangaza hasara, mashirika yanafirisika na watu mmoja mmoja wanazidi kuwa maskini, Mr president nini tafsiri ya hiki?
Uchumi wa nchi unaporomoka, uko bize kulipa kisasi kwa mahasim wako, na siku hizi kila kitu kimekua uchochezi, panueni magereza tutoshee maana hatutanyamaza ila tutanena ukweli.
Agenda yako kuu ikulu imekuwa kushughurikia upinzani, unafunga wapinzani, hutaki kusikia mtu anakukosoa. Hii siyo siasa, iga mfano kwa trump, ni rais pekee aliyetokea kuchukiwa marekani, but he is busy keeping every American on the lope whether like him or not. Huu ndio ukomavu wa kisiasa, na siyo kuwa alert tu na yasiyokupendeza.
mkuu huyu Rais sikutarajia Kama angekuwa katili kiasi hiki, ametuumiza wengi sana na bado anaumiza wengine.Mr president! Nasema na wewe. Kwanini serikali yako umeifanya kuwa serikali ya visasi, vijembe, kejeli na maneno yaliyojaa ukakasi?
Nakumbuka kipindi cha kampeni zako ulikuwa mpole, mnyenyekevu na mtiifu. Maneno yako yalivuta maelfu ya watanzania na kupelekea ushindi wako.
Nilishuhudia ulipopita moshi na msafara wako uliojazwa na wasanii kibao, ukiwa uwanja wa mashujaa, ulisema mengi ila zaidi ulisema SITAWAANGUSHA.
Mr president tayari umeshatuangusha. Tunakwambia tuna njaa, unatuuliza "kwaiyo nikawapikie?". Hatukutegemea.
Sasa maisha ni magumu kwa watanzania masikini, tunayo njaa, hali ya ukame imeshamiri, ila hutaki kusikia.
Hali ya uchumi siyo nzuri, makampuni yanatangaza hasara, mashirika yanafirisika na watu mmoja mmoja wanazidi kuwa maskini, Mr president nini tafsiri ya hiki?
Uchumi wa nchi unaporomoka, uko bize kulipa kisasi kwa mahasim wako, na siku hizi kila kitu kimekua uchochezi, panueni magereza tutoshee maana hatutanyamaza ila tutanena ukweli.
Agenda yako kuu ikulu imekuwa kushughurikia upinzani, unafunga wapinzani, hutaki kusikia mtu anakukosoa. Hii siyo siasa, iga mfano kwa trump, ni rais pekee aliyetokea kuchukiwa marekani, but he is busy keeping every American on the lope whether like him or not. Huu ndio ukomavu wa kisiasa, na siyo kuwa alert tu na yasiyokupendeza.
Ameenda Ethiopia,mshaanza kubwatuka enhe?subiri arudi!
Mkuu hata mimi mwenye shahada mhitimu ni fisadi, nilini nilikuw na mtaji hata wa 1m nijiajiri? Haya hata ajira za walimu wa masomo ya sayansi zimewashinda na hapo ndio lilikuw tegemeo langu. Kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi yeyote kisa hii serikali ya waongoMafisadi wanalia na kusaga meno.Mbona kazi bado kabisa?hii ni rasha rasha tu
Kama una shahada na umekaa nyumbani ukisubiri kuajiriwa na serikali maana yake huko darasani ulikuwa unasindikiza tu wenzako na hiyo shahada yako si lolote si chochoteMkuu hata mimi mwenye shahada mhitimu ni fisadi, nilini nilikuw na mtaji hata wa 1m nijiajiri? Haya hata ajira za walimu wa masomo ya sayansi zimewashinda na hapo ndio lilikuw tegemeo langu. Kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi yeyote kisa hii serikali ya waongo
Nilikuw nimeajiriw baada ya matamko mengi ya ajira siku update mkatabaKama una shahada na umekaa nyumbani ukisubiri kuajiriwa na serikali maana yake huko darasani ulikuwa unasindikiza tu wenzako na hiyo shahada yako si lolote si chochote
kipimo cha uelewa sio watu wangapi unatofautiana nao au unaungana nao katika hoja au chochote kile.Wenzako wote wameelewa nimemaanisha nini ndo maana wanachangia kwa weledi, isipokuwa wewe, hujioni una kasoro!
Sasa unasubiri nini?njoo tufuge samaki na tulime na njegere huku,zina soko kubwa Rwanda,burundi na DRCNilikuw nimeajiriw baada ya matamko mengi ya ajira siku update mkataba
Amshukuru Mungu wa Morroco amekubali kwenda kuwa mkalimani wake angekataa yy alishasema haendiAmeenda Ethiopia,mshaanza kubwatuka enhe?subiri arudi!
Na kweli wanalia tena mafisadi wa CCM walizoea vya kunyonga sasa sijui vya kuchinja wataweza au lá, kazi kwaoMafisadi wanalia na kusaga meno.Mbona kazi bado kabisa?hii ni rasha rasha tu
Ni wapi huko mkuu? maana kwetu hata mazao ya nyumbani tupeyapiga moto baada ya kukauka kwa ukameSasa unasubiri nini?njoo tufuge samaki na tulime na njegere huku,zina soko kubwa Rwanda,burundi na DRC