Serikali ya UKAWA kuwa ya hovyo kuwahi tokea

Serikali ya UKAWA kuwa ya hovyo kuwahi tokea

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,157
Ukiwauliza wafuasi wa Ukawa kwanini Ukawa wanakwambia tunataka kuitoa CCM, ukijaribu kufuatilia kwanini utakutana na haya.

Anatakiwa kulipa kodi lakini hajafanya hivyo akifuatiliwa ili alipe..analalamikia Serikali ya CCM.

Amejenga ndani ya eneo la hifadhi ya bara bara, akaitakiwa kuondoa nyumba yake, anailaumu serikali ya CCM.

Anatakiwa kufanya kazi, lakini amekaa kijiweni....akiambiwa nenda kalime...anailaumu serikali ya CCM.

Kila jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wake, lakini hataki kulifanya ataacha kulifanya na kuilaumu serikali ya CCM.

Ukweli ni kwamba hakuna muujiza wowote watakao kuja nao Ukawa, na vile vile, wajibu wa mtu binafsi hauhamishwi jukumu na kupewa serikali.

Kila binadamu anahitajika kufanya mambo fulani yeye binafsi.

Itashangaza sana kama Ukawa watakua tayari kuruhusu ujinga woote ili mradi kuwafurahisha wavivu kwa kuwadangaya ili wawape kura.

Ukawa itakua serikali ya ajabu kuwahi tokea, maana itakua tayari kuruhusu ujinga wote uliokua ukikataliwa na CCM ili wapate kura.
 
Ofisi hii unajimu iko wapi? Nakuona umedandia kazi za watu pasi na weledi wa kutosha
 
STROKE katika ubora wake, maw huh cha moto utakiona mpaka kufika hapo 25/10. utatoa sana povu ila ndio hivyo wat wameamua hata uwachagulie matusi hawana habari.
 
Mtajitetea sana waswahili wanasema kimya kingi kina mshindo mkuu
 
Huyo huyo nampa kura yangu.Lowasa hoyeeeeee
 
Wananchi wanataka madaraka yao.... Nyie mlikasimiwa madaraka hayo mkayaweka reheni kwa familia 3...!!
Wameyataka wenyewe; wapeni hayo madaraka...Msitake kujua watayafanyia nini.... Msiwafundishe jinsi ya kuyatumia hayo madaraka ilhali mmeshindwa miaka yote hiyo...!!
 
Ahsante umekiri mwenyewe wataunda serekali.

Mgombea wa Ukawa hayupo mbali sana na elimu yake ya sanaa, kauli zake zinaashiria ni kwa namna gani anavyoweza kutumia maneno kuhadaa watu, kauli zake mfano za kutufanya matajiri wote haziko mbali sana na sanaa ya mazingaombwe, nakumbuka kipindi kile alipotaka kuleta mvua ya mabomu toka Thailand, sasa nasubiria muujiza wa kutufanya wote matajiri bila kufanya kazi..na kwa jinsi watanzania tunavyopenda vya bure na mteremko, basi hatutachelewa kupigia kura miujiza...
 
Kumbe Ushajua serekali ni ya ukawa.. Bravo stroke
 
Me najiuliza.eti jitu kama lilema liwe liwaziri,au lisugu naln eti liwe liwaziri.hivi yatakua yana mchango gani kwenye wizara husika.
 
"Hivi sasa Watanzania wapo makini na wapo tayari kuongozwa kwenda Ikulu Oktoba 25, jambo la msingi ni kuhakikisha mnalinda shahada zenu na kutumia nidhamu, tukitumia kura hawa tutawashinda Jumapili asubuhi, hawana hoja tena washachoka,"- Lowassa
 
Me najiuliza.eti jitu kama lilema liwe liwaziri,au lisugu naln eti liwe liwaziri.hivi yatakua yana mchango gani kwenye wizara husika.

Na liwewe utakuwa limwananchi linalolialia kwa ligubu.:thumbdown::thumbdown:
 
Ukiwauliza wafuasi wa Ukawa kwanini Ukawa wanakwambia tunataka kuitoa CCM, ukijaribu kufuatilia kwanini utakutana na haya...

Anatakiwa kulipa kodi lakini hajafanya hivyo akifuatiliwa ili alipe..analalamikia Serikali ya CCM...

Amejenga ndani ya eneo la hifadhi ya bara bara, akaitakiwa kuondoa nyumba yake, anailaumu serikali ya CCM..

Anatakiwa kufanya kazi, lakini amekaa kijiweni....akiambiwa nenda kalime...anailaumu serikali ya CCM...

Kila jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wake, lakini hataki kulifanya ataacha kulifanya na kuilaumu serikali ya ccm...

Ukweli ni kwamba hakuna muujiza wowote watakao kuja nao Ukawa, na vile vile, wajibu wa mtu binafsi hauhamishwi jukumu na kupewa serikali..

Kila binadamu anahitajika kufanya mambo fulani yeye binafsi...

Itashangaza sana kama Ukawa watakua tayari kuruhusu ujinga woote ili mradi kuwafurahisha wavivu kwa kuwadangaya ili wawape kura.

Ukawa itakua serikali ya ajabu kuwahi tokea, maana itakua tayari kuruhusu ujinga wote uliokua ukikataliwa na CCM ili wapate kura.
Akili yako fupi sana hata mmbwa anakushinda we umesahau ela za epa,escro,madini na mikataba mibovu,kushuka kwa shilling unaongea mavi
 
Mgombea wa Ukawa hayupo mbali sana na elimu yake ya sanaa, kauli zake zinaashiria ni kwa namna gani anavyoweza kutumia maneno kuhadaa watu, kauli zake mfano za kutufanya matajiri wote haziko mbali sana na sanaa ya mazingaombwe, nakumbuka kipindi kile alipotaka kuleta mvua ya mabomu toka Thailand, sasa nasubiria muujiza wa kutufanya wote matajiri bila kufanya kazi..na kwa jinsi watanzania tunavyopenda vya bure na mteremko, basi hatutachelewa kupigia kura miujiza...
ukawa ukawa, hakuna jingine tujadili, huna jipya la chama chetu?
 
Back
Top Bottom