Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
MiCCM inafanya kila mbinu kusudi kuweka wakati mgumu kwa serikali ya Ukawa ifikapo mwishoni mwa 2015 itapoingia madarakani na kuwa Serikali mbadala ,kama mtachunguza tokea kuanza kwa BMK hela za hazina zimekuwa zikitumika kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha tena bila huruma.
Sherehe za kukabidhiana maajabu zilizofanyika Dodoma ,zimetumia hela ambayo si ndogo ,kuna hela iliyobaki pale BMK haijulikani nani amekula au kutumia ,miccm wamekuwa wakifanya mikutano isiyo na tija kila kona hela wanayotumia unaweza kutegua inatoka wapi ,kufungua miradi hivi sasa kumekuwa ni jambo kubwa la kufanya sherehe za aina yake ikifuatiliwa na mikutano ,hiyo yote ina gharama na hela inatoka hazina.
Nini lengo la kufanya yote hayo kwa kutumia gharama kubwa ? CCM wanajua 2015 wanaondoka madarakani ,je atakaeingia madarakani aikute hazina kumenona ? Hapana wanafanya kila kitu alimuradi wanahakikisha hazina inakwangurwa na hakubaki kitu ,kwa maana hiyo atakaeingia madarakani atapata taabu sana kuendesha serikali ambayo hazina yake imekauka. watu watarise up na kuhoji maendeleo ,mwishowe ni kwa serikali hiyo kuanguka au kuangushwa.
UKAWA kuweni wenye kuweka rekodi mkiikuta hazina tupe kamata wote ,waweke lokapu mpaka kijulikane !