Serikali ya Tanzania imesitisha kuwapa ufadhili watanzania waliokuwa wanasoma China

Dec 25, 2016
63
83
34b9f1fcb30783d19882a9d6410b364d.jpg
 
Lazima Watanzania waishi kama mashetani, hii ni ilani ya siri ya MACCM sasa inatimizwa rasmi Trilioni moja za kununua ndege bila ununuzi huo kufuata utaratibu wa manunuzi Serikalini wala matumizi hayo kuidhinishwa na Bunge zipo!

Watu wako nchi za ugenini maisha China yana gharama kubwa sana halafu leo Serikali inakata pesa ambazo wanafunzi wa Kitanzania walikuwa wanapelekewa kila mwezi. Tusishangae kusikia mabinti wa Kitanzania wanaosoma kule kujiingiza katika biashara ya ukahaba ili kuweza kumudu gharama za maisha.

Nchi ina majanga sana awamu hii
 
Kama kuna mabadiliko kama hayo si yanaanzia batch mpya? Wale wa zamani si wameenda na kuanza masomo baada ya kuingia mkataba wa kukopeshwa? Hivi hawana written contract ya mkopo? Kimsingi, nchi imefilisika. Kubana matumizi kwa aina hii katika long term investment kama elimu zina madhara mazito saaaana baadae.
 
Nchi rafiki zilikuwa zinalalamika, Zinajitolea kuprovide Scholarship inayocover Tuition fee pamoja na accommodation fee, lakini Wanafunzi bado wanakuwa hawaendi!. Tatizo ni uwezo wa kulipia nauli za ndege!.

Hapo ndipo serikali ilikuwa inaona aibu, kwamba watoto/vijana wetu wapewe ng'ombe mzima sisi tushindwe kuchangia hata mkia?. Ndipo serikali ilipokuwa inachangia japo nauli ya ndege kwa hawa vijana!

Serikali zote zilizopita zilifanya hivi, Nashangaa serikali yetu hii inayokusanya matrilioni ya pesa kila mwezi inashindwe kuona aibu, yaani China ikusomeshee watu wako bure, Iwape Stipend kila mwezi bure, Iwape malazi bure, halafu serikali yetu ishindwe kuchangia japo kiduchu?

Hii ni aibu!
 
Ehee eee, eheeee CCM mbele kwa mbele×2
CCM ni ile,Watanzania mmeichgua,
Watanzania mtaisoma no ehee,
Twende Magu tuisome namba,majaliwa Twende tuisome namba.
CCM mbele kwa mbele eèeeeee eèeeeee.


Sasa basi naomba waimbaji tukae Chini tunywe maji tupoze kaoo.
 
Back
Top Bottom