Serikali ya Tanzania, hii simple policy rule inawahusu sana

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Hii ni kwa mujibu makala iliyopositwa katika blog ya kituoa cha Center fo Global Development (CGD) ambapo kupitia mtandao huo mwandishi ameilezea Tanzania juu ya uamuzi wake wa kurekebisha sheria ya takwimu na wamemuelezea Magufuli na utawala wake kwa mambo kadhaa huku wakosoaji wa serikali kama kina Zitto wakitajwa pia katika makala hiyo.

Wamemchambua Magufuli na serikali yake huku wakigusia mfano wa Ugiriki na Argentina alafu kuna sehemu wakasema:

A simple policy rule:If a government's statistics can not be questioned, they shouldn't be trusted.

Kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom