Serikali ya Rwanda yashusha bei ya mafuta

Serikali ya Rwanda yashusha bei ya mafuta

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
18,008
Reaction score
25,623
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV serikali ya Rwanda imeshusha bei ya mafuta hadi faranga 1000 baada ya bei hiyo kushuka kwenye soko la dunia.
Sisi tutasubiri mpaka EWURA wakae na siasa zipigwe ndio utasikia bei inashuka na bei ikishuka itaambatana na uhaba wa mafuta
Pamoja na rais wao kutuhumiwa kwa udikteta lakini Kagame amezidi kuwa rais wa mfano.
 
by the way petrol Rwanda huwa ni ghali kidogo kwa sababu Rwanda hawana bandari
 
Back
Top Bottom