Wandugu
Kuna jambo linanitatiza kila siku,naombeni niwaulize mnisaidie.
Rais Magufuli kila apatapo nafasi ya kuzungumza huwa anajisifu kuwa Corona Tanzania imeisha na haipo kabisa na pia kuulezea umma kuwa hana haja ya kuvaa barakoa kwa sababu hakuna Corona.
Hata Leo amelizungumza hilo akitolea mfano kwamba walipokusanyika wote Leo hakuna aliyevaa barakoa na hakuna haja.
Sote tunajua asemacho Rais ni lazima kifuatwe na wote na kinatekelezwa Kwa vitendo.
Ajabu ni kuwa mtu binafsi ukienda baadhi ya ofisi za serikali na zisizo za serikali hurusiwi kuingia bila barakoa,je hizi ofisi zina mdharau raisi?
Watoto wa shule wamefungua shule baada ya ya Rais kutangaza kuwa corona imeisha,lkn wizara ya elimu imetoa mwongozo wa baadhi ya wanafunzi lazima kuvaa barakoa,je wizara imemdharau raisi?
Au tunaweza kusema kuwa corona IPO lakini raisi ni muongo anayehadaa umma?binafsi nashindwa kuelewa,kwani raisi hana uhakika na asemacho?na kama ana uhakika Kwa nini anapuuzwa?
Kila Mara amekuwa akisema Mungu ametusaidia Tanzania,kwani Mungu anaweza ondoa corona Tanzania pekee,?Kwa nini jina la MUNGU analitumia hovyo kila Mara? Ina maana Tanzania ndio tunamwabudu Mungu tofauti na nchi zingine?na huu ujinga umewaingia wajinga wengi hasa kwenye haya makanisa ya wasaka sadaka,utakuta mtu anajigamba kuwa sisi Tanzania tuna MUNGU na corona hatupati na kuna watu wameaminishwa kabisa corona hakuna.
Asanteni,
Swelana.!