Umeonae! Naunga mkono hoja, rais gani anashinda bar akitandika ndyofu? Mungi hiyo ndoto yako ni batili.
huna sababu ya kuandama mkuu imarisha jeshi letu
Ubaguzi..... Ubaguzi.......... Ubaguzi...... Kwanini umebase kwa Arusha Wings? Hasa vyeo vya juu? Ndiyo kusemaje?
hahaaaaaa afu arusha ndo makao makuu ya chitcha.
nawe Nyakwaratony subiria uteuzi wa wakuu wa mikoa sawa!