Kuna yeyote mwenye taarifa alipo Dr Mihogo??Niwasalimu kwa jina la JMT..
Kuna dalili na kelele za watu hususani wapinzani uchwara kutaka Serikali ya Mseto kwa visingizio vya eti kuponya Nchi na kuleta maridhiano..
Binafsi siungi mkono kwa sababu hakuna hicho wanachosema mgawanyiko hapa Nchini. Hizi ni mbinu za wapinzani kutafuta asali na Wala sio kuwatumikia Wananchi.
Pia Serikali ya Mseto inasimamia nini zaidi ya migogoro na kutunishiana misuli? Tukatae huu uhuni.👇
View attachment 2273363View attachment 2273364