lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,444
Hata kwa Magufuli mlisema hivyo hivyo kuwa atatawala milele ila kwasasa Yuko mbinguniRight mngejua mnaandaliwa kwenda kulizwa muda si mrefu ni vyema mngeanza kuaanda vitambaa vya kujifutia machozi kuliko kupoteza muda mkimwandama Makonda. Ni hayo tu. Ni Bora mtulie tu maana hamjui kuzisoma alama za Nyakati.