Serikali ya Magufuli wanajenga mnara wa Babeli

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Ukisoma historia kuna ujenzi wa mnara wa babel ambapo kulitokea lugha gongana.
kiufupi wakati magufuli anapiga kampeni alisema elimu bure namaanidha burre. Hivi sasa tunaambiwa tuwe na moyo wa kujitolea kwani madawati hayatoshelezi hadi Makonda alijitokeza kwa TV kuomba watu wajitolee.. Sijajua elimu bure uliokusudiwa ilikuwa na kujitolea au serikali kutoa kila kitu bure inahitaji ufafanuzi.

Muhimbili walisema watakuwa wanachaji 50,000 kupunguza msongamano serikali ikapiga marufuku.

Jana tu TRA waliitisha press conference leo Gavana kapinga kilichosemwa Jana.. Sukari bei elekezi 1800 sasa ivi kimya kimya hamna bei elekezi.

Juzi mkuu wa wilaya katolewa kuapishwa utadhani hakupigiwa simu.

Hivi mnara utasimama kukiwa na Lugha gongana?
 
Wana lengo zuri la kukusanya kodi....ni sawa

wana lengo zuri la kupambana na ufisadi au ukwepaji kodi...ni sawa...

Ila wanachokosea ni approach....no technics

mfano kuongeza VAT kwenye tourism ili kupata pesa nyingi......

Tourists hundreds cancels and many thousands don't plan Tanzania destination -----lost of revenue

bad approach on Tourism business
 
Mnajaza nyuzi hata zingne hazına mantiki.Wewe kichwa maji sana, kwa hiyo elimu bure ulijua haitahtaji madawatı au?
 
Back
Top Bottom