Hahaa mkuu nimecheka sana. CAG-remix hana akili hizo...Jamaa kaingizwa mkenge wa kuleta majibu kwa umma,
Kuna siku msibani nakumbuka niliwahi kuambiwa nikatoe tangazo kuwa hakuna chakula halaf ukizngatia hapo kabla ya kwenda kuzika watu waliambiwa twende tukazike tukirud ndio tule chakula sasa mara watu wamerudi kutoka msibani wazee wenzangu wananiita wananituma niende nikawaombe radhi niwaambie waungwana HAKUNA CHAKULA. Mimi nlikaa nkajfikiria nilitoka mpk nje nakawaangalia waungwana nkapga mahesabu na kuchanganya akili nkaona hapana bora kuchukiwa na hao wachache walikuwa wamenituma kuliko kujipotezea heshima mbele ya waungwana hawa wanaosubiri msosi,nilivaa viatu nilipitiliza hyooo bila kusoma chochote.
Hta CAG-remix angetulia tu asingeleta "mark board"
Kwa taarifa yako ni kwamba hata baadhi ya kampuni zinazo supply vifaa kwenye ujenzi wa SGR (reli) ni za wabongo. Walichofanya wameenda kufungua huko huko Uturuki na kuwa mawakala ili ionekane vifaa vinatoka huko kumbe hela wanajilipa wao. Awamu hii acheni jamani.Mayenga contructions ndiyo ina jenga na kukata ati majengo ya serikali. Guess who ones it????
aiseeTutaambiwa zimejenga Eapoti chatle
Uliza wizi kwenye SGR utalia...Mkuu huyu hakuja kurekebisha bali kaja kuiba na ndo maana ameweka dotto pale ili wajijengee himaya ya wizi kwa siri,sehemu zote zenye mambo ya fweza kawaweka ndg zake either mjomba,binamu au basi msukuma yeyote tu
acha kudangany watu, jpm yuko vizur sana sema nyie CDM hamtaki maendeleo ya nchiMkuu huyu hakuja kurekebisha bali kaja kuiba na ndo maana ameweka dotto pale ili wajijengee himaya ya wizi kwa siri,sehemu zote zenye mambo ya fweza kawaweka ndg zake either mjomba,binamu au basi msukuma yeyote tu
Jamani hii Nchi,eti uwanja wa mpira wenye standards za Kimataifa unajengwa Ruangwa. Hivi wale wenyeji kule kulipa tu bill ya Umeme wa REA 5000/- kwa mwezi ni tatizo, unawapelekea Uwanja wa Mpira sisi kweli S**T HOLE COUNTRIESTutaambiwa zimejenga Eapoti chatle
Nani kakwambia anayeongoza ndiye aliyeshinda kwa kura.ukweli wote anaujua anko lubuva.Ila ndio liwe fundsho kwa watanzania wajue kuchagua next time.
Zile anazogawa kwenye public au, maana hata ujumlishe vipi hazijawahi kufika hata milion 1,000.Hazijapotea atakuwa kawapa wanyonge si serikali ya wanyonge hii?
Yuko vizuri kwenye nn?acha kudangany watu, jpm yuko vizur sana sema nyie CDM hamtaki maendeleo ya nchi
Hilo la mshahara unaweza kuliongelea hata wewe lakini kwa nyongeza fedha hii ikigawanywa kwa watanzania wote kila mmoja atapata 30,000 na ikigawanywa kwa binadamu wote duniani kila mmoja atapat sh.200/-.so what? tuambie inajenga nini au ingetosha nyongeza ya mshahara wa sh ngapi kwa wafanyakazi waliopo, unazungumzia kutandika noti
Huna akili kabisa. Kwa kukusaidia hiyo trillion 1.5 inaweza kujenga Vienna 10 vya kisasa vya mpira wa miguu kama kile cha taifa na chenchi ikabaki. Uwanja wa taifa ulijengwa kwa USD million 53 ambayo kwa exchange rate ya sasa n kama tsh billion 120 hivso what? tuambie inajenga nini au ingetosha nyongeza ya mshahara wa sh ngapi kwa wafanyakazi waliopo, unazungumzia kutandika noti
Kuna mtu kasema nchi tumewapa washambaKuna mtu kasema kipindi hiki Masai kaingia Disco