Serikali ya kishetani huwatumikia mizimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya kishetani huwatumikia mizimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwankuga, Jan 14, 2011.

 1. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nchi yetu imefikia pabaya sana,ambapo wananchi tusipoamua kuchukua hatua,watu wachache wataendelea kutunyonya.Mfano suala la DOWANS,wananchi tunatwika mzigo wa kulipa deni la DOWANS,huku umeme ukiwa wakubabaisha sana.

  Viongozi wetu wamekuwa wakiingia mikataba ya kinyonyaji ambayo inawafaidisha wao na mabwana zao,huku wananchi wa kawaida tukiwa na maisha magumu sana.Mfumo wa bei imefanya bidhaa nyingi sokoni kuwa juu sana,lakini huku kikundi cha watu wachache wasiokuwa na uchungu wakiendelea kula maisha.

  Viongozi weti ni wala nyama za watu.Wameingia madarakani kwa mbinu chafu ikiwemo kupata pesa kwa watu wachafu ambapo baada ya kuingia madarakani hulazimika kulipa fadhila kwa matapeli kama akina Rostam Aziz.Kama kweli Kikwete amechaguliwa kihalali na wananchi mbona hasikilizi matakwa ya wananchi,badala yake anawasikiliza watu wachache ambao hatuna imano nao.

  Wananchi,tusemi sasa inatosha.Wametunyonya vya kutosha,wametudharau vya kutosha,sasa ni muda wa kufanya mapinduzi,si muda wa kukaa na kunywa kahawa.Ni muda wa kuwapinga wazi wezi hawa ambao wanajifanya ni viongozi.
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  I am sorry to say this 'viongozi wetu kuanzia juu hadi chini ni wapumbavu tu'.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :frog:maruhani, :car:
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Clever tyrants are never punished.
   
 5. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkwere has never been clever he is a puppet, they put him there and if asked by his masters "jump" he just reply "how high boss"?
   
Loading...