Serikali ya Kikwete hoi! Yaelemewa...

Serikali ya Kikwete hoi! Yaelemewa...

Isango

R I P
Joined
Jul 23, 2008
Posts
295
Reaction score
450
Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imeelemewa. Imelea matatizo, imeshindwa kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati, sasa imeshikwa kila Upande. Ukiachilia suala la Mtwara linalofukuta, sasa suala la Udini linaisumbua, waliruhusu watu wa madhehebu kutukanana, Sheikh aliyepo kwenye hii picha na Mkanda aliotoa hakuchukuliwa hatua, na sasa gazeti hili limeandika habari ya uchochezi, pengine serikali inaogopa kulichukulia hatua kwa kuwa ni la kidini. Inaogopa haikumchukulia hatua huyo anayetajwa kuwa muuaji, lakini pia hata gazeti lenyewe naona limeandika kwa kuwa linajua lipo katika mrengo fulani ili lichukuliwe hatua ni lazima ianzie kwa sheikh. Tulishauri kwa busara, ikaonekana ni mambo ya kupita. Sasa maji ya shingo. Rais aache kufanya utani nchi yetu inaelekea pabaya. Na Kwa mfano gazeti hili na habari iliyopo haina tofuti na ile iliyosababisha MwanaHalisi kufungiwa, lakini serikali imekaa kimya...... Haina msimamo.. .........Nini hatima ya nchi yetu? Mbona mambo haya yanakuja kama utani lakini yanafumbiwa macho?
 
Attachments

  • LLLL.jpg
    LLLL.jpg
    326.4 KB · Views: 1,044
Huyu shehe na serikali yake ya mabwege hana muda mrefu mtamwona hageuki wala haguni anachezea sisi huyu ye acheze na serikali yake dhaifu
 
Ilunga anatafuta matatizo kwake na familia yake aangali wasije wakam ROGO off akaiachia majonzi familia yake
 
Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imeelemewa. Imelea matatizo, imeshindwa kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati, sasa imeshikwa kila Upande. Ukiachilia suala la Mtwara linalofukuta, sasa suala la Udini linaisumbua, waliruhusu watu wa madhehebu kutukanana, Sheikh aliyepo kwenye hii picha na Mkanda aliotoa hakuchukuliwa hatua, na sasa gazeti hili limeandika habari ya uchochezi, pengine serikali inaogopa kulichukulia hatua kwa kuwa ni la kidini. Inaogopa haikumchukulia hatua huyo anayetajwa kuwa muuaji, lakini pia hata gazeti lenyewe naona limeandika kwa kuwa linajua lipo katika mrengo fulani ili lichukuliwe hatua ni lazima ianzie kwa sheikh. Tulishauri kwa busara, ikaonekana ni mambo ya kupita. Sasa maji ya shingo. Rais aache kufanya utani nchi yetu inaelekea pabaya. Na Kwa mfano gazeti hili na habari iliyopo haina tofuti na ile iliyosababisha MwanaHalisi kufungiwa, lakini serikali imekaa kimya...... Haina msimamo.. .........Nini hatima ya nchi yetu? Mbona mambo haya yanakuja kama utani lakini yanafumbiwa macho?

Mimi sijui tatizo la rais kikwete na serikali kwa ujumla nini ? . DVDs za chuku zimekuwa zikisambwa kwa makusudi lakini serikali imekaa kimya tu.

Radio imani kila jumapili imekuikihubiri chuki na propaganda za kutosha lakini serikali ipo kimya..... hivi hii serikali ina ajenda gani na maisha na mali za wakristu?
 
Tuache uoga kwa kulalamika lalamika tu huku JF , tuchukue hatua
 
mdau mmoja alisha sema lengo la jk ilikuwa kuwa rais na si kuongoza nchi, the rest juu yetu..hana vision ya kutuongoza ila mission ya kuingia ikulu..matukio ya ajabu yanayoendelea hajawahi tokea
Mkuu anakulaa bata na blatter
 
Unajua maana ya propaganda? Wale jamaa ma radio imani achana nao hakuna mkristo anaweza kujibu hoja zao, wanaongea na wanakupa references, ndiyo maana mnabaki kulalamika eti ni wachochezi jibuni hoja zao basi.
 
zuzu ni zuz tu.
 
Unazifahamu hoja????!!! wangekuwa wana hoja za msingi zingejibiwa! hakuna jambo la msingi wanaloongea bali kuchonganisha watu, hasa kwa vile jamii yao haina upeo wa kuelewa mambo, wao huyabeba kama yalivyo mwagwa na wachochezi wao eti kwakuwa ni wenzao!!!!! then yanakuwa virus tu kwenye akili zao(yanaleta uhasama ktk jamii), tusubiri tunawatengenezea ant virus!!!!!!jazaneni tu virus kwakuwa hamna cha kufanya hivyo kazi yenu ni kukalishana kwny mijadala isiyoweza kuleta maendeleo yoyote!! neno hoja pia hamlielewi vizuri pamoja na kuwa tumewakaribisha msome kwny shule zetu bado hamjafunguka!!!tuwafanyeje nyie wanadamu mpendao vita angalieni nchi zooote za asili yenu ni vita tu hakuna amani hata(Somalia, Ethiopia,sudan, Iran, iraq ..........................nimechoka hata kuzitaja endelezeni nyie wenyewe, maana mnaboa .........!!!!).
 
dU SHETANI kazini LIVE.............. ukristo umejengwa katika misingi ya MITUME na MANABII na NGUVU ZA KUZIMU HALITAWAWEZA.......................... MASHIMO WANAYOCHIMBA KWA AJILI YA UKRISTO .... WATATUMBUKIA WENYEWE
"asema Bwana wa Majeshi"
 
Hamna haja ya kugombana ndugu zangu, kwanza dini zote mnazo bishania zimetoka nje mngejua kwa nini zililetwa kwetu msingeweza hata kuzijadili humu ndani, proud to be tanzanian and not muslim or christian
 
Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imeelemewa. Imelea matatizo, imeshindwa kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati, sasa imeshikwa kila Upande. Ukiachilia suala la Mtwara linalofukuta, sasa suala la Udini linaisumbua, waliruhusu watu wa madhehebu kutukanana, Sheikh aliyepo kwenye hii picha na Mkanda aliotoa hakuchukuliwa hatua, na sasa gazeti hili limeandika habari ya uchochezi, pengine serikali inaogopa kulichukulia hatua kwa kuwa ni la kidini. Inaogopa haikumchukulia hatua huyo anayetajwa kuwa muuaji, lakini pia hata gazeti lenyewe naona limeandika kwa kuwa linajua lipo katika mrengo fulani ili lichukuliwe hatua ni lazima ianzie kwa sheikh. Tulishauri kwa busara, ikaonekana ni mambo ya kupita. Sasa maji ya shingo. Rais aache kufanya utani nchi yetu inaelekea pabaya. Na Kwa mfano gazeti hili na habari iliyopo haina tofuti na ile iliyosababisha MwanaHalisi kufungiwa, lakini serikali imekaa kimya...... Haina msimamo.. .........Nini hatima ya nchi yetu? Mbona mambo haya yanakuja kama utani lakini yanafumbiwa macho?

Haya ndiyo masuala ambayo nimekuwa nikimuomba Mh. Rais JK anipe nafasi niwe mshauri siyo kwamba hana washauri hapana nadhani hawayaoni haya. Wamejifungia ndani ya magari yenye giza pande zote mbili. Kwa taarifa hii namshauri Mh. JK afanye moja katika mawili haya AIDHA:-
1. Alifungie Gazeti hili la Nyakati kwa kueneza UHOCHEZI kwa jambo lisilo la kweli.
AU:-
2. Mhusika huyo Sheikh achukuliwe hatua tena haraka iwezekanavyo, tumechoka na mambo haya, pia tunaimani kwa kauli za Mh. Rais kuwa atahakikisha analinda amani ya nchi. Mimi namuunga mkono hawa watu wadhibitiwe kwa gharama yoyote.

Mh. Rais huenda TABASAMU LAKO WATU WANALICHUKULIA NI SIMPLE. Nakumbuka kama ni vita dhidi ya MAFISADI wewe ulianza tangu ukiwa WAZIRI WA FEDHA enzi hizo. You have good record that we people of the United Republic of Tanzania do Trust you.
 
Hamna haja ya kugombana ndugu zangu, kwanza dini zote mnazo bishania zimetoka nje mngejua kwa nini zililetwa kwetu msingeweza hata kuzijadili humu ndani, proud to be tanzanian and not muslim or christian
Kweli kabisa!
 
Back
Top Bottom