joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,616
MY TAKE: Corona inatusaidia kujua uhalisia wa nchi ya Kenya, yaani Failed state
Haibadilishi ukweli kwamba Kenya madaktari wanakufa kwa wingi kwa kukosa vifaa vya kujikinga na mishahara wakati serikali imekopa pesa nyingi za kupambana na Corona lakini zote zimeibiwa na wakikuyuIngekuwa Tanzania citizen TV ingefungiwa Kwa uchochezi na uhujumu uchumi
Jielekeze kwenye mada husikaIngekuwa Tanzania citizen TV ingefungiwa Kwa uchochezi na uhujumu uchumi
Wamgomee nani wakati mashule ni hadi mwakani, wenye shule private wenyewe wanageuza shule zao mabanda ya kuku, hao walimu watakuwa na njaa sana, hawawezi andamana.Walimu nao wagome sasa Kenya jaman
Wameongezea GDP ili iwe mbali kabisa na TANZANIA
Ndio maana jeshi lao halikuitwa Kpdf limeitwa Kdf lazima liwanyanyase kwasababu sio jeshi la wananchi kama TANZANIA hilo ni jeshi la UHURUUtawasikia wakisema tuna katiba bora duniani
Yaani aliendoka na akili zote za hilo Taifa alifanya unyama sana
Utashangaa wanashangilia uhuru wa media wakati hata wakipiga kelele vipi bado pesa zinatafunwa nonstop na kipigo cha police kinawafikia kwa viwango vya kuridhisha tu View attachment 1537662
Acha masihara wewe, madaktari wanadunda kitaani na bado wazima tu..Haibadilishi ukweli kwamba Kenya madaktari wanakufa kwa wingi kwa kukosa vifaa vya kujikinga na mishahara wakati serikali imekopa pesa nyingi za kupambana na Corona lakini zote zimeibiwa na wakikuyu
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ungeliandika hivi..
MY TAKE: Corona inatusaidia kujua uhalisia wa nchi ya Kenya, yaani Failed state
Bunge la tz hata cctv halina, mtasema nn tuwaelewe haswa..Utawasikia wakisema tuna katiba bora duniani
Yaani aliendoka na akili zote za hilo Taifa alifanya unyama sana
Utashangaa wanashangilia uhuru wa media wakati hata wakipiga kelele vipi bado pesa zinatafunwa nonstop na kipigo cha police kinawafikia kwa viwango vya kuridhisha tu View attachment 1537662
mibongolala hata haifahamu madaktari wanalipwa na serikali za kaunti si serikali ya kitafa kawaida kwao ni umbea tu bila kujifahamisha kwanzaUngeliandika hivi..
Madakatari wa county ya nairobi wailalamikia serekali ya mike mbuzi sonko
Hajielewi huyomibongolala hata haifahamu madaktari wanalipwa na serikali za kaunti si serikali ya kitafa kawaida kwao ni umbea tu bila kujifahamisha kwanza