Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Kufikia leo mikoa na Halmashauri zote nchini kuna tovuti.Andika www.jinalamkoa/halmashauri.go.tz kupata habari na taarifa
huyo ndio Pombe mtamuelewa tu hapa kazi tuSawa mkuu ngoja nihakiki kisha nirudi.
Umejaribu kama inafanya kazi hiyo format uliyoileta au unatulisha matango pori? Si vyema kuripoti kitu usichokuwa na elimu yake.huyo ndio Pombe mtamuelewa tu hapa kazi tu
Haifanyi kazi. Labda wanafikiria kuanzaKufikia leo mikoa na Halmashauri zote nchini kuna tovuti.Andika www.jinalamkoa/halmashauri.go.tz kupata habari na taarifa